Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Hellow

Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina mpenda sana kibaya zaidi anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa

Nimewekeza pesa nyingi kuna muda nampa mpaka akiba yangu ila haoni kama nampenda nimechoka nifanyeje

Nilimfwata baada ya kusikia washikaji kuwa wanamsema ni mgumu sana so na mimi nikazama kimya kimya ila sasa moyo unanipelekesha na mpenda sana ila jibu hanipi

Nifanyeje ushauri wenu mwenzenu nimekamatika kwa huyu bidada kitoto cha 2000
Unampenda au unataka tunda tu! mkaushie kuendelea kujipendekeza ni kujishusha hadhi na atakuchukulia poa mpaka bas, mi nishaachaga kutongoza sahv namuonesha tu nia yangu kwake, Kwa kumuita jina zuri au kumtazama hicho flani iv la matamanio au namsifia, yaan vyvyte vile ili mradi ajue tu namtaka! Na uzuri wanawake ni wepesi sana kumsoma mwanamme, baada ya hapo naomba namba tu! akinipa namba ndio jibu tyr, maana mwanamke kama hana interest nawewe hawezi kukubali usumbufu bas, nikishachukua namba ata hvo bado sitomtongoza badala yake ntaomba meeting, hatua ya pili hyo,kumbuka hatua ya kwanza ni namba katoa,kakubali kuacha kazi zake kuja kukuskiliza! bas bado nn apo!!!! ila siku ya kwanza zingatia sana usitake mzigo kama hajaonesha kuutaka mchezo ila unaweza ukamwambia kama masihara flan iv, kama umeshindwa kusoma hisia zake! Mwanamke hataki kukupa namba mpaka uchukue Kwa jirani mi stak usumbufu huo ata kama nampenda vip! ila mwanamke stak nataka hyo ndio wananiwezaga mm!?
 
USE DECOYED OBJECTS OF DESIRE AND RED HERRINGS TO THROW PEOPLE OFF THE SCENT If at any point in the deception you practice people have the slightest suspicionas to your intentions, all is lost. Do not give them the chance to sense what you are up to: Throw them off the scent by dragging red herrings across the path. Use false sincerity, send ambiguous signals, set up misleading objects of desire. Unable to distinguish the genuine from the false, they cannot pick out your real goal.
TRANSGRESSION OF THE LAW Over several weeks, Ninon de Lenclos, the most infamous courtesan of seventeenth-century France,
listened patiently as the Marquis de Sevigné explained his struggles in pursuing a beautiful but difficult young countess. Ninon was sixty-two at the time, and more than experienced in matters of love; the marquis was a lad of twenty-two, handsome, dashing, but hopelessly inexperienced in romance. At first Ninon was amused to hear the marquis talk about his mistakes, but finally she had had enough. Unable to bear ineptitude in any realm, least of all in seducing a woman, she decided to take the young man under her wing. First, he had to understand that this was war, and that the beautiful countess was a citadel to which he had to lay siege as carefully as any general. Every step had to be planned and executed with the utmost attention to detail and nuance.
Instructing the marquis to start over, Ninon told him to approach the countess with a bit of distance, an air of nonchalance. The next time the two were alone together, she said, he would confide in the countess as would a friend but not a potential lover. This was to throw her off the scent. The countess was no longer to take his interest in her for granted—perhaps he was only interested in friendship.
Ninon planned ahead. Once the countess was confused, it would be time to make her jealous. At the next encounter, at a major fête in Paris, the marquis would show up with a beautiful young woman at his side. This beautiful young woman had equally beautiful friends, so that wherever the countess would now see the marquis, he would be surrounded by the most stunning young women in Paris. Not only would the countess be seething with jealousy, she would come to see the marquis as someone who was desired by others. It was hard for Ninon to make the marquis understand, but she patiently explained that a woman who is interested in a man wants to see that other women are interested in him, too. Not only does that give him instant value, it makes it all the more satisfying to snatch him from their clutches.
Once the countess was jealous but intrigued, it would be time to beguile her. On Ninon’s instructions,
the marquis would fail to show up at affairs where the countess expected to see him. Then, suddenly, he would appear at salons he had never frequented before, but that the countess attended often. She would be unable to predict his moves. All of this would push her into the state of emotional confusion that is a prerequisite for successful seduction.
These moves were executed, and took several weeks. Ninon monitored the marquis’s progress:
Through her network of spies, she heard how the countess would laugh a little harder at his witticisms,
listen more closely to his stories. She heard that the countess was suddenly asking questions about him.
Her friends told her that at social affairs the countess would often look up at the marquis, following his steps. Ninon felt certain that the young woman was falling under his spell. It was a matter of weeks now,
maybe a month or two, but if all went smoothly, the citadel would fall.

A few days later the marquis was at the countess’s home. They were alone. Suddenly he was a different man: This time acting on his own impulse, rather than following Ninon’s instructions, he took the countess’s hands and told her he was in love with her. The young woman seemed confused, a reaction he did not expect. She became polite, then excused herself. For the rest of the evening she avoided his eyes,
was not there to say good-night to him. The next few times he visited he was told she was not at home.
When she finally admitted him again, the two felt awkward and uncomfortable with each other. The spell was broken.
Nimeichukua
 
Ush
Hellow

Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina mpenda sana kibaya zaidi anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa

Nimewekeza pesa nyingi kuna muda nampa mpaka akiba yangu ila haoni kama nampenda nimechoka nifanyeje

Nilimfwata baada ya kusikia washikaji kuwa wanamsema ni mgumu sana so na mimi nikazama kimya kimya ila sasa moyo unanipelekesha na mpenda sana ila jibu hanipi

Nifanyeje ushauri wenu mwenzenu nimekamatika kwa huyu bidada kitoto cha 2000
Auri wangu.

Uza figo uongeze kiasi unachompa
 
Unampenda au unataka tunda tu! mkaushie kuendelea kujipendekeza ni kujishusha hadhi na atakuchukulia poa mpaka bas, mi nishaachaga kutongoza sahv namuonesha tu nia yangu kwake, Kwa kumuita jina zuri au kumtazama hicho flani iv la matamanio au namsifia, yaan vyvyte vile ili mradi ajue tu namtaka! Na uzuri wanawake ni wepesi sana kumsoma mwanamme, baada ya hapo naomba namba tu! akinipa namba ndio jibu tyr, maana mwanamke kama hana interest nawewe hawezi kukubali usumbufu bas, nikishachukua namba ata hvo bado sitomtongoza badala yake ntaomba meeting, hatua ya pili hyo,kumbuka hatua ya kwanza ni namba katoa,kakubali kuacha kazi zake kuja kukuskiliza! bas bado nn apo!!!! ila siku ya kwanza zingatia sana usitake mzigo kama hajaonesha kuutaka mchezo ila unaweza ukamwambia kama masihara flan iv, kama umeshindwa kusoma hisia zake! Mwanamke hataki kukupa namba mpaka uchukue Kwa jirani mi stak usumbufu huo ata kama nampenda vip! ila mwanamke stak nataka hyo ndio wananiwezaga mm!?
Kwwli ase vyeo vinashuka
 
Hellow

Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina mpenda sana kibaya zaidi anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa

Nimewekeza pesa nyingi kuna muda nampa mpaka akiba yangu ila haoni kama nampenda nimechoka nifanyeje

Nilimfwata baada ya kusikia washikaji kuwa wanamsema ni mgumu sana so na mimi nikazama kimya kimya ila sasa moyo unanipelekesha na mpenda sana ila jibu hanipi

Nifanyeje ushauri wenu mwenzenu nimekamatika kwa huyu bidada kitoto cha 2000

Utoto Raha Sana dah
 
Bora tu upike zako chapati za maji 😛
 
Back
Top Bottom