mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #121
😝😝😝 ndio ID yake ya jf eehBaba P❤️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😝😝😝 ndio ID yake ya jf eehBaba P❤️
HakikaInshallah
😹😹😹 Mtaje basi mahi
Kaongooo 😎😎😂😂😂Mi na ID Moja tu
😀😀😀 Watu wema wapo humu japo ni ngumu kuwafahamu.. huyu niliekutana nae ni very very good man issue ni bado ana ujana tu 😌
Mama dic kson....🤔
Tulishaachana 🤧🤧Kuwa nae hivyo hivyo hadi ujana umuishe
Kikubwa na yeye aoneshe kukupenda
Weeee🙄🤣Penzi ulilonipa jana, ni soooo
angalia nisije kusema kwa bimkubwa, uka ishia kusema mi snitch 😂Penye miti hakunaga wajenzi mama, ebu futa huu uzi uje PM😋
Pele kama lako kinataka ukucha...😜
Njoo tulimalizie 😀Weeee🙄🤣
We ID yako nyingine ni ipi😂Kaongooo 😎😎
shemela Kuna mtu kasema uchapwe!Kwanini mnawa -raidisha wamama jamani? Huu ni uonevu…
Infact women over 30 hatupaswi kuambiwa tu ride, kwanza our knees are hurting 😅😅🤦🏻♀️
Sina ila nitatengeneza mpyaWe ID yako nyingine ni ipi😂
Bro una kisaliti chama🤣🙄Sawa cheupe wangu.
Wewe nasikia unatafutaga wadada wazuri ili uzae nao 🤧🤣Njoo tulimalizie 😀
sina mfungamano na chama chochote kileBro una kisaliti chama🤣🙄
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nilibahatisha mkuu humu wengi wehuMna siriii. Yaan pamoja na kuficha majina ya attendanve bado mnatambuana na kuonana.
Haya mshamgazi mmojq anayehitaji tuonane Moshi mjini. Valentine ijayo isipite bure bila kummis mtoto wa watu.