Wewe mkaka wa Jamii Forums mimi mwenzio bado nakupendaa

Salaam nyingi kwenu wana jf… niliwamiss sana humu ndani

Leo bhn nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu jf..

Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.

Mara ya kwanza sikuwa na feeling’s zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)

Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..

Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100

Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja

Happy valentine’s my dear Kaka mnyakyusa
It’s me your Brinn 😍
Mumbe jf true love ipo.
 
Bujibuji Simba Nyamaume goma lako linakulikia huku, hebu rudisha moyo wako nyuma mzee
 
Unaweza kuta mnyakyusa mimi ndio naambiwa haya, haya mama angu tuliendeleze tu mimi mwenyewe bado nakupenda pia. Ni katoto tu kale ka efu 2 kalitaka kunitoa kwenye reli
 
Back
Top Bottom