Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Kumbe nio maana jirani, umekua so hot leo...🤣Jirani ni mimi niko waswano , si unajua wikiend leo na jana ilikuwa “hapivalentine”?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nio maana jirani, umekua so hot leo...🤣Jirani ni mimi niko waswano , si unajua wikiend leo na jana ilikuwa “hapivalentine”?
Ni utani tu wamama nawaelewa sana kutokana na joto kali...sio wasumbusu wanachotaka uwaridhishe tu 😊Kwanini mnawa -raidisha wamama jamani? Huu ni uonevu…
Infact women over 30 hatupaswi kuambiwa tu ride, kwanza our knees are hurting 😅😅🤦🏻♀️
Sina mkuu 😂Nyashi unayo?
Sawa cheupe wangu.Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja
Ilo pele linataka likucha siyo ukuchaPenye miti hakunaga wajenzi mama, ebu futa huu uzi uje PM😋
Pele kama lako kinataka ukucha...😜
Nimeacha ujana kuanzia leo mpenzi...😑😀😀😀 Watu wema wapo humu japo ni ngumu kuwafahamu.. huyu niliekutana nae ni very very good man issue ni bado ana ujana tu 😌
😂😂 mmmh ukute ni wewe una ID mbili 🤣🙌🏻Sawa cheupe wangu.
Wadada single humu wataniibia 🤣Sasa mbona ujamtaja jina sasa ili tukufanyie advocate
Nasubirii ufike 30Nimeacha ujana kuanzia leo mpenzi...😑
Taja id yakeWadada single humu wataniibia 🤣
sasa nikimaliza ujana wangu wewe si utakuwa unaingia kwenye ubibi wako?😂😂 mmmh ukute ni wewe una ID mbili 🤣🙌🏻
Nitayang'oa yote kwaajili yako, bora nibaki kibogoyo mkuu...😊Hayo meno mkuu
Anajijuaa atakuja sio mudaTaja id yake
Ndio nimefikisha 30 leo, basi futa huu uzi turudi nyumbani tukayajenge...😜Nasubirii ufike 30
Nipo hapa tayari...🤨Anajijuaa atakuja sio muda
Angekuwa MPARE ningedhani ni mimi mamamzungu kanidondokea😁😁Salaam nyingi kwenu wana jf… niliwamiss sana humu ndani
Leo bhn nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu jf..
Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.
Mara ya kwanza sikuwa na feeling’s zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)
Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..
Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100
Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja
Happy valentine’s my dear Kaka mnyakyusa
It’s me your Brinn 😍
😁😁😍Ahsante sana mahabuba