mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #221
MmhMichezo hiyo dadeki hapa inatafutwa kodi 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhMichezo hiyo dadeki hapa inatafutwa kodi 🤣
😍Maneno yakishujaa sana Kwa huyu mwanamke yaan ningeambiwa mm hata angekuwa na sura mbaya ningerudi kwake
Mimi pia kuna mkaka natamani aone huu ujumbe😭Umenikumbusha yule kaka wa humu nilikuwa nampenda wakati ule 😥
Umeshajaribu mkuuMapenzi ya humu mengi ni utapeli na ulaghai tu umejaa!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi pia kuna mkaka natamani aone huu ujumbe😭
Usicheke. Ameniacha kikatili sana naumia. Sijawahi umia hivi mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mama mbona unanionea aibu sana mwanao?mshamba_hachekwi unacheka nini?
Sioni aibu yoyote ndio maana nimefunguka hapa. Nilitegemea unifariji mwanangu hata kwa kunipa polemama mbona unanionea aibu sana mwanao?
Nikajua nyie wahenga mmeshazoea.Sioni aibu yoyote ndio maana nimefunguka hapa. Nilitegemea unifariji mwanangu hata kwa kunipa pole
Aisee mwenyewe nilidhani ni hivyo lkn kwa huyu imekuwa tofauti. Na uzee huu naumia yaani najishangaa sana. Anyway nitamsahau tuNikajua nyie wahenga mmeshazoea.
Mtaje ni nani niende nikampasue.Aisee mwenyewe nilidhani ni hivyo lkn kwa huyu imekuwa tofauti. Na uzee huu naumia yaani najishangaa sana. Anyway nitamsahau tu
shemela yule mzee mkali, nawajua mpaka kina sokomoko mzee wa mashati makubwa😂Kumbe unajua!
Siwezi mtaja. NaogopaMtaje ni nani niende nikampasue.
Mimi pia kuna mkaka natamani aone huu ujumbe😭
Ha haaa yule hata sura simjui huwezi amini. Wewe ukiona nabebishana na mtu wazi wazi ujue sipo serios. Mambo mazuri ni kimya kimya.😂😂😂
Huyo huyo anayeanzia na N ndio nayemjua na sitaki kuelekezwa azawaizi 🤣