Wewe Mr., kwanini hunitunzi?

Kama utani ila ndo kweli vileeee.
Anyway jf sihami
 
Sio lazima nikuhudumie kiviiiile, kwani wekiwete..??
Alafu hii tabia ya kua kila nikikukula unakuja kuniandika humu, sio poa...[emoji3525]
Na leo sikuji hapo lodge, nitakua na familia yangu na ukiona vipi bora urudi tu mkoani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini moto c anakupelekea vizuri.? Kama moto unawaka vizuri bc mvumilie kwa hicho kidogo.
 

Kukupa Pesa ilikuwa ni sehemu ya makubaliano yenu kabla hujatoka huko Mkoani unakosema? Hotelini alipokupangishia anakuja kukukula tu na kuondoka?
 
Anaye kufanyia hivi ni huyu MAGALLAH R , au ni mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…