Sasa wewe mwanaume kweli, unaanzishaje mada ya kupondea wanaume wenzako, unadhan hao wanawake wote utawamaliza mwenyewe?
Mimi ninachofahamu pombe na umalaya huwa vinaenda sambamba, ni walevi hao hao ambao wanabena mabaamedi kila siku!
Sweetie, ndio maana nakupenda. Ila wine sweet c unakunywa ehee?Si kweli umalaya ni tabia tu Wala haihusiki na pombe, Mimi mwenyewe sinywi pombe na sio Malaya marafiki zangu walevi na ni milaya mfanowe hakuna
Achilia mbali uwepo wa maandiko yanayo onyesha ubaya na dhambi ya kunywa kunywa Pombe,ila kama unaitumia akili yako vizuri na kutafakari kiundani utaona ya kuwa Pombe ni mbaya na unywaji wa Pombe ni jambo baya na ni dhambi mbele za Mola.
Sasa kuna muda mapenzi yenu juu ya kitu mnachokipenda yasizidi akili zenu, sababu huwafanya muone Kioo kina thamani ya Almasi,jambo ambalo haliwezekani, kwa ufupi mnajidanganya.
Basi kumbe kilevi chako ni kupiga chaboπππMimi situmii kilevi chochote ila napenda kupiga chabo
Afadhali Leo tumepata mtetezi kwenye Jambo la msingi....π»Mambo zenu wakuu?
Natoa nasaha kwa wanawake,kama uko kwenye mahusiano na mwanaume asiyekunywa pombe muogope sana.mostly huwa ni malaya zaid ya Sisi tunaopiga maji.
Mtanishukuru baadae.
Kwahiyo tunao pombeka hatuendi mbinguni..π²π²Walevi kwa kujitetea hamjambo acha pombe Okoka Yesu anakupenda
Hivi kwanini sisi walevi mnatuonaga kama hatuna akili...!!??Una tatizo wewe au umeandika baada ya kulewa
Mkuu, maranyingi hizi tafiti huwa tunazifanyia hapahapa bar....ππHuku sasa ni kutaka kupotosha watu.
Hivi hizi tafiti huwa mnafanyia wapi!!!
Upo sahihi mno mkuu, maana hata tuliambiwa uchaguzi umeishaΓ3Tembeeni Kifua Mbele!!
Tupo Kwenye Light Track, Uchumi Wa Kati.
Hii ndio sababu hua nikipombeka sitaki wanangu wang'amue, lakini kwajinsi pombe ilivyo na nguvu huwa nazidiwa kujizuia Kisha naanza kuwakataza wasije wakanywa pombe kama babayao, wakatihuo mimi najiweka pembeni kamavile ndio tumasema huyo babayao......πππWalevi kwa kujifariji bhana! Wewe endelea kupiga kilaji tu haya mengine ni kupigiana kelele tu
My very good and best friend (K-Vanta) mnamuumiza sana kwa kumsingizia aiseeeeMalizia hiyo kvant ukapumzishe fuvu
Teh labda nafanana nae mwandikoNina uhakika you are my damned @demi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo zenu wakuu?
Natoa nasaha kwa wanawake,kama uko kwenye mahusiano na mwanaume asiyekunywa pombe muogope sana.mostly huwa ni malaya zaid ya Sisi tunaopiga maji.
Kilaji kinakufanya ujione unaongea madini tu, na unataka kila mtu asikilize unachoongea πππHii ndio sababu hua nikipombeka sitaki wanangu wang'amue, lakini kwajinsi pombe ilivyo na nguvu huwa nazidiwa kujizuia Kisha naanza kuwakataza wasije wakanywa pombe kama babayao, wakatihuo mimi najiweka pembeni kamavile ndio tumasema huyo babayao......πππ