Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
- Thread starter
-
- #41
Unataka kusema kati ya vigezo vyote hakuna hata kimoja umejinasua? Vyote humo? Pole sana mkuu!Mtoa post nawe ni masikini TU.....jipige kifua sema mimi ni masikini wa mawazo
Kikubwa tuombe uzimaSasa wewe muda si mrefu utatoboa!
Ile ferrari yako pale bweni haijambo?Tuendelee .....
11. Kama unakuwa mtu wa hasira hasira na visirani ni dalili tosha ya kuwa wewe ni masikini
12. .....endelea.....
Uhalisia mdogo katika mengi,ama nikuambie kua uyaone mwanangu ama nikuambie,msela hafugi paka,ama ni kuambie kila mtu na hamsini zake,ama wewe ni familia changa tena mboga Saba changamoto bado,ama mtoto wa baba na mama ukilia ng'aa umesikilizwa na kuwezeshwa ulipo kwama🤔
- Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
- Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
- Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
- Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
- Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
- Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
- Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
- Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
- Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
- Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
- ..... ongezea....
Hata wewe pia inaoneka ni masikini matajiri huwa hawana muda wakuzungumzia maisha ya watu masikini matajiri ni watu wa mipango na kula starehe sijawahi kuona tajiri anajadili maisha ya mtu anayepitia msoto
- Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
- Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
- Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
- Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
- Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
- Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
- Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
- Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
- Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
- Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
- ..... ongezea....
Mleta mada ni kutaka kuwafikilisha watu washtuke!Uhalisia mdogo katika mengi,ama nikuambie kua uyaone mwanangu ama nikuambie,msela hafugi paka,ama ni kuambie kila mtu na hamsini zake,ama wewe ni familia changa tena mboga Saba changamoto bado,ama mtoto wa baba na mama ukilia ng'aa umesikilizwa na kuwezeshwa ulipo kwama🤔
Masikini ndo mtaji wa tajiri atawazungumziaje?Hata wewe pia inaoneka ni masikini matajiri huwa hawana muda wakuzungumzia maisha ya watu masikini
9. Ya uongo
- Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
- Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
- Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
- Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
- Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
- Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
- Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
- Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
- Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
- Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
- ..... ongezea....
Si kila Mtu ni limbukeni wa usafiri binafsi, kuna Jamaa ana nyumba za kisasa 6 za kupangisha ila hutumia usafiri wa uma 70%.Umeropoka sana mkuu.
-Usafiri wa umma haimaanishi kuwa mtu masikini.
Wapo wenye uchumi wa kati ila wanatumia usafiri wa umma.
-Wengine wanafuga hawanunui nyama bali wanachinja.
-Simu nzuri sio apple na samsung tu.
Kuna OPPO,XIAOMI,VIVO,HUAWEI.
Hizi nazo zimetajwa kuwa miongoni mwa simu bora.
Punguza ushamba
Unatumia simu gani mkuu? Tecno? Au kiswaswadu?9. Ya uongo
Pole sana mkuu! Ni mapito tu!Si kila Mtu ni limbukeni wa usafiri binafsi, kuna Jamaa yangu ana nyumba zaidi ya 6 za kupangisha ila hutumia usafiri wa uma 70%.
Kamwe sijawahi na sitathubutu kutumia simu za iphone au Samsung smartphones sababu sizipendi japo nishatumia TV & friji za Samsung.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Angalia usijepitiwa na wewe, oooh [emoji1787]Pole sana mkuu! Ni mapito tu!
Sio Samsung wala I phone.Unatumia simu gani mkuu? Tecno? Au kiswaswadu?
Third generation...Namba 2 umekosea sana,Mimi mzee wangu hataki kusikia Habari ya kununua gari,aliniambia lilitaka kumfilisi ila ana vitu anamiliki mpaka watu wanatusema ana masharti ya mganga.
Hii ilipelekea maza kununua gari kwa kulazimisha tulipomchangia Ndio anaendeshwa na kupanda Mara moja moja wala hana shobo na magari.
Akiendesha ni kwenda kanisani tu na kurudi.