Wewe ni masikini kama huko kwenye kundi hili!

nagongelea na sumari la jahazi ngo ngo ngoπŸ“ŒπŸ”¨
nashukuru siishi ukimani bongo
Maisha ni popote.
Wapo waishio Europe ila masikini.
Waliofeli maisha bongo kama lamomy na mtoa mada ndio wanajifariji kwa kutoa general implication kuwa walio bongo wote masikini.
Ilhali kuna watu wanajiweza wanaishi kama wanaoishi Ulaya.
 
Wewe kibongo bongo unamuona kawazidi, haya kwenye chart ya USA yuko nafasi ya ngapi? 🀣🀣🀣
 
Wewe kibongo bongo unamuona kawazidi, haya kwenye chart ya USA yuko nafasi ya ngapi? 🀣🀣🀣
Anaingia amongst millionaires.
Hata akiwa wa 200 ila anaingia miongoni mwa mamilionea.
Maana ana dola milioni 900.
Je ndogo hizo?
Rihanna mpaka leo dola milion 100 tu hajafikisha.
Ukisema hivyo basi matajiri wapo uarabuni tu.
Maana Kuwait kuna watu wana Bilions kuwait dinar.
Na ili uwe na kuwait dinar 1 itabidi uwe na kama dola mbili unusu.
Inamaana Musk kwa waarabu ni mchumba tu.
 
Anaingia amongst millionaires.
Hata akiwa wa 200 ila anaingia miongoni mwa mamilionea.
Maana ana dola milioni 900.
Je ndogo hizo?
Rihanna mpaka leo dola milion 100 tu hajafikisha.
Wee uliziona?? Chanzo chake cha hizo pesa tutajie? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Za maskini mwenzetu wa bongo πŸ˜‚
Asset anazomiliki,miradi ya fedha aliyoanzisha na vyombo husika vya kifedha vya nje na ndani ndivyo vimetoa ripoti.
Rostam Azizi mwaka jana Kenya kaanzisha mradi wa gesi wa dola milioni 200.
 
Bado km anaishi bongo ni MASKINI 🀣
Lamomy shikamoo shikamoo na tena.
Kwahiyo hata kama kampita Pdidy anayeishi USA bado maskini kisa anaishi Bongo!?
πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
 
Lamomy shikamoo shikamoo na tena.
Kwahiyo hata kama kampita Pdidy anayeishi USA bado maskini kisa anaishi Bongo!?
πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio
Tajiri hawezi kukaa huku mkiani mwa dunia bro
 
Kama unaishi chini ya dola moja kwa siku wewe ni masikini
Hiki kipimo nacho kifanyiwe marekebisho, dola 1 ni shiling 2500 sasa hapo utaishi nayo vipi kwa siku? itakua sahihi zaidi tukisema masikini ni anaeishi chini ya angalao dola 2 kwa siku
 
Hiki kipimo nacho kifanyiwe marekebisho, dola 1 ni shiling 2500 sasa hapo utaishi nayo vipi kwa siku? itakua sahihi zaidi tukisema masikini ni anaeishi chini ya angalao dola 2 kwa siku
Kuna mtu kupata hata hiyo 2000 ni kazi
 
Mtoa mada hapo kwa shemji yako umekula umeshiba ukaona umewazaa kitu cha maana.
 
Sasa uwe na dinar kiwango chochote utazitumia kununua nini zaidi ya mafuta ili hali mafuta nchi nyingi wanayo! Ukiwa na dollars unakuwa juu ya dunia kila mahali utalambwa miguu! Mwenye dollars si mwenzako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…