Wewe ni mhenga?

Huu uzi mtu kama lemutuz na wenzake kama yeye wanaupita mbali nlsikia yupo humu
 
Kama ulishawahi kuwa muhenga wewe ni muhenga.
 
Kama wewe ulifunga suruali kwa mkanda wa tairi la baiskeli, wewe ni muhenga
Hahahaha hii kitambo sana duh nilikuwa nawaona wakubwa wangu Enzi hizo ..Enzi ya wenge BCBG hiyo
 
2001 !!! Mimi hiyo mia 2 ya mwinyi ambayo inapicha ya wavuvi nimeitumia mbona kabla hazija badilishwa ' Pali kuwa na 500 ya noti ambayo ina picha ya wa-mama wana vuna Pamba ..hahah ilikuwa ni kitambo kiasi chake ..... but wakati huo nilikuwa ni mdogo sana
Daaahhh, nimewahi kuiona mia mbili kati ya hizo tu, ilikuwa mwaka 2001
 
Daah wale wamama wa pamba nilikuwa napenda sana kuwatazama
 
Naam ilikuwa inavutia mnooo ile picha ilikuwa inatoa thamani kubwa kwa zao la Pamba. .hata mimi nilikuwa naipenda
Daah wale wamama wa pamba nilikuwa napenda sana kuwatazama
 
Aisee basi ulikuwa una kwenda shule na hela nyingi ..cause nakumbuka That time tsh.5 ilikuwa ndio inapotea potea lakini ilikuwa unanunua baadhi ya mahitaji kwa kuanzia tsh.10 ....... Nakumbuka nusu ya sukari tulikuwa tuna nunua kwa tsh 100 ...Kg1 ya unga ilikuwa ni 200 na kuna wakati Kg1 ilikuwa Inashuka mpaka kufikia 180....
Hiyo mia mbili nimeitumia sana, tena mpaka shule ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…