Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Wengi tunahonga zaidi ya kile tunachotakiwa kutumia, unafikiri tatizo litakuwa ni nini?Kuna muda kale kahela kahongo ingia mahali agiza ugali+ nusu kg au kg ya yule anaechukiwa na imani fulani.
Standards mkuuWengi tunahonga zaidi ya kile tunachotakiwa kutumia, unafikiri tatizo litakuwa ni nini?
Pongezi kwako.Uwe na kiwango cha kuhonga kisichoumiza. Mimi demu akiniomba 50 kwenda juu, huwa nahisi mama yangu anasikitika huko kijijini. Kwa hiyo malaya wangu ni pamba kali na mosisi mizuri pale home
Hao mnaowapa majukumu mazitoWakina nani hao wanahonga jamani
Mimi mbona majukumu mazito najipa mwenyeweHao mnaowapa majukumu mazito
Unafaa kuwa mke kabisa, jiandae naleta sado moja ya mahindi kama mahari.Mimi mbona majukumu mazito najipa mwenyewe