Wezi wamevunja fremu na kuiba, sijui naanza hatua gani hapa wakuu. Naombeni msaada wenu

Unaibiwa,unakuja kulia mtandaoni? Kwanza inatakiwa uwaambie majirani,kama mna jeshi la sungusungu basi waambie wakusanyie wajadili hali ya usalama eneo husika na mikakati ya kulinda,ukikaa kimya ipo sku utaibiwa tena alafu ukiwaambia watakuona wewe ndo mwenye makosa haukuwaambia tukio la awali. Pole sana. Wapi hapo mkuu?
 
pole sana

Ila kama hii ni chai, unawaharibia wananchi wengine in the future watakao kuja kutafuta ushauri na hata msaada hapa JF.

tukuchangie au tuwapigie simu polisi? Walozi?😂😂😂😂
mkulu unataka nn? Huruma?😢
 
Inatia huruma sana kwa mukijana mujasiriamali.
 
Wakuu naombeni muongozo je nichunguze kimya kimya au nende polisi au nifanyaje mana mpaka sasa sielewi
Nenda karipoti serikali ya mtaaa hapo ndio Utapewa muongozo wa kwenda polisi au Vipi?

Ofisi yako ipo mtaani sana au barabani?
Kama ni uswahilini Andika tangazo la kupiga mkwara mzito. Inatoa siku 3 mliovunja na kuiba mrudishe vitu mlivyo lasivyo itasomwa albadiri kali sana na tusilaumiane. Au nikupe msoma albadiri mdogo wangu?

Poor Brain
 
Kaka musaidie tyu.
 
Pole sana mkuu, toa tu taarifa polisi Kwa ajili ya ufwatiliaji
 
Kaka nipe...
Nakuja pm
 
Tuwaroge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…