Wezi wamevunja fremu na kuiba, sijui naanza hatua gani hapa wakuu. Naombeni msaada wenu

Wamechuku nini
 
Pole sana mkuu.

Ilitokea ishu kama yako kwangu mwaka jana, nasikitika kusema police hawakua na msaada. Hapo labda upate mtaalamu tu awanyooshe hao kenge.
Naenda kuripoti maana ndio mamlaka ya ulinzi
Au ulitaka nende hospital
Kweli polisi hawaga msaada wanataka tena na rushwa. Kuna siku nimekabwa na kuporwa simu na hela na hao vibaka nawajua naenda kuripoti polisi eti wananiambia hela ya bajaj nikatoa tukaenda mpaka masikani yao. Hatukuwakuta ukaacha ripoti waje kituoni.

Wale vibaka kweli wakaenda kituoni wakahonga hela na nilipoenda tena eti polisi wanataka hela tena. Aisee niliona jau sana nikawashukuru tu wale polisi nikaondoka tu. Kimsingi hao vibaka malizana nao spiritually tu mdogo wangu mbona watarudisha tu na fidia watakulipa.
 
Mshangazi wako kafulia au? Acha kulalama weyee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee nyoko kweli..
Mi nimeibiwa ofisini kwangu wee unasema ishu za mishangazi kweli..

Kwanza mashangazi hawana msaada kwangu nimemwambia shangazi dory anasema analeta nyingine mpya hvo nitulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…