Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole mkuu hizo nchi 32 wamebeba zote?Daah
Bidhaa za electronic ikiwepo flatUmeibiwa bidhaa zipi?
Umeibiwa maeneo gani?
Mazingira ya kuibiwa yapoje?
Unao washuku ni akina nani?
Gharama ya vilivyo ibiwa ni pesa ngapi?
Mambo gani ulikosea hata kusababisha ukaibiwa?
Umesha report kituo ya polisi?
Ebu tuanzie hapo kwanza ili tuone namna gani tunakushauri.
Pole sana
Ndio mkuupole mkuu hizo nchi 32 wamebeba zote?
Sawa mkuuPole sana mkuu, karipoti polisi ili wawe tu na hiyo taarifa.
Polepole basi, mwenzio amechanganyikiwa usimuulize maswali magumu.Flat nchi 32?Unamaanisha nini hapo?
Mkuu unafanya consultation ya maswala utoaji mikopo au ni ID tu?Pole sana, wakati nipo Bank kuna kitu tulikuwaga tunakifanya kinaitwa RCSA.
Uliifanya hii kitu mapema? Ku identify risk, controls, mitigants??? Kuna makosa umefanya ya ki ulinzi ndo maana watu wame take advantage
Kama hujui basi tukuambie mtu unaye muamini, mtu wako wa karibu, watu unashinda nao ndio waliokuibia...Bidhaa za electronic ikiwepo flat
Na vifaa vingine vidogo vidogo
Maeneo ya hapa mtaani ambako kuna fremu pia ndo kuna chumba nachoishi
(Kutaka location specific natuma pm)
Bado sijaanza kushuku exactly ila ni hawa hawa vijana naoshinda nao hapa mtaani maana wanajua A to Z ya movement zangu
Ghalama za vitu nilivyo ibiwa kwa kukadiria ni kama laki 5 na 80
Nipo peace na watu na vijana wa hapa hvyo sizani kama kuna sababu exactly ya wao kunifanyia hvi
Sijaripoti mpaka sasa maana sijui naanzia wapi wala sijui huko polisi naenda na vitu gani hii ndo mara ya kwanza
Nipo gongo la mboto
AsantePole kwako mkaka...
Asante mkuu ngoja nifanye hvo..Kama hujui basi tukuambie mtu unaye muamini, mtu wako wa karibu, watu unashinda nao ndio waliokuibia...
Nenda police katoe taarifa hakuna chochote unachotakiwa kwenda nacho hata buku... Watakuuliza utaje vitu ulivyoibiwa na unahisi ghrama yake itakuwa bei gani... Ni mahojiano ya dk5 tu.
💩Usikubali kuombwa na kutoa pesa ya upelelezi
Nenda tu kama ulivyo ila ukiwa na ID zako kama Nida, incase of anything sio mbaya.Sawa mkuu..
Je polisi niende na vitu gani muhimu maana ndo mara ya kwanza hata sijui naanzaje au takutana navyo kule kule
Pole nasa.Bidhaa za electronic ikiwepo flat
Na vifaa vingine vidogo vidogo
Maeneo ya hapa mtaani ambako kuna fremu pia ndo kuna chumba nachoishi
(Kutaka location specific natuma pm)
Bado sijaanza kushuku exactly ila ni hawa hawa vijana naoshinda nao hapa mtaani maana wanajua A to Z ya movement zangu
Ghalama za vitu nilivyo ibiwa kwa kukadiria ni kama laki 5 na 80
Nipo peace na watu na vijana wa hapa hvyo sizani kama kuna sababu exactly ya wao kunifanyia hvi
Sijaripoti mpaka sasa maana sijui naanzia wapi wala sijui huko polisi naenda na vitu gani hii ndo mara ya kwanza
Nipo gongo la mboto
Nenda tu kama ulivyo ila ukiwa na ID zako kama Nida, incase of anything sio mbaya.Sawa mkuu..
Je polisi niende na vitu gani muhimu maana ndo mara ya kwanza hata sijui naanzaje au takutana navyo kule kule
Sawa mkuu..Nenda tu kama ulivyo ila ukiwa na ID zako kama Nida, incase of anything sio mbaya.
Ila hakuna cha maingi zaidi ya maelezo ya biashara yako, mahala ilipo n.k. ni maelezo elezo tu
Asante mkuu..Pole nasa.
Sasa anzia polisi ukaripoti na kisha ufungue kesi ya kuibiwa na kama haujamshuku mtu pia nisawa.
Ukisha pewa RB inaweza ikakusaidia kuwapata wezi wa vitu vyako, kama TV itapatikana maana utakua ndio mwanzo.
Kumbuka kwamba unapo toa taarifa police inasaidia maana wengi wana faham baadhi ya vibaka wa mtaani na pia wanazijua machimbo mengi yanayo uza vitu used ama vya wizi.