What are some crazy interesting conspiracy theories?

What are some crazy interesting conspiracy theories?

kifo cha osama ni story ya upande mmoja, kwa jinsi US wanavyopenda sifa sidhani kama kuna uhalisia katika maneno yao!

anyway, hii dunia ina mambo mengi ambayo kwa akili ya kawaida doesnt make sense, ila kwa mtu anaetazama nje ya box kuna vitu haviko sawa!
Nawaza hivi kama osama alikufa siku nyingi, kwanini ndugu/washirika/watoto hawakutangaza hizi habari.
Na baada ya US kutangaza kumuua , kwanini hawakukanusha?
Au walikanusha?
 
Kwamba ukikojoa usipotemea mate ulipokojoa mama ako anakatika maziwa...Leo nina miaka zaidi ya 20 ila kila nilipokoja lazima niteme mate😀😀😀😀(Mtoto wa bwamkubwa aliniambia hivo)
 
Tofautisha kati ya uhalisia na nadharia za uongo, hilo la kwanza watu walishuhudia, hilo la pili ni uchachefu wa maarifa na jambo liko wazi.

Sasa jifunze kuweka kitu mahala pake.
Una uhakika gani kwamba ni kweli mwezi uligawanyika?
 
Kwamba ukikojoa usipotemea mate ulipokojoa mama ako anakatika maziwa...Leo nina miaka zaidi ya 20 ila kila nilipokoja lazima niteme mate[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3](Mtoto wa bwamkubwa aliniambia hivo)
Hizi ni beliefs Da'vinci bila shaka.
 
Sababu tuna chain ya wapokezi mpaka kwa walio shuhudia hilo tukio.
Hiyo haitoshi bila ushahidi.
Kama watu walitoka hadi nje wakaona dunia ni tufe wakapiga na picha na bado mnabisha, vipi hili unawezaje kuliamini?
Au kwa sababu linahusisha imani?
 
Hiyo haitoshi bila ushahidi.
Kama watu walitoka hadi nje wakaona dunia ni tufe wakapiga na picha na bado mnabisha, vipi hili unawezaje kuliamini?
Au kwa sababu linahusisha imani?

Inaonekana hukuelewa kauli yangu, nakufafanulia. Nikisema "chain" namaanisha kwenye kuhakiki habari "chain" ndio inakamilisha ushahidi, kwa maneno mafupi, chain ndio ushahidi wenyewe.

Nani aliwahi kutoka nje ya dunia ? Habari zake ulizipata vipi ? Kisha kipi kilichokufanya ukakubali, au ukasadikisha ?

Imani ni zaidi ya unavyifikiria, na imani ya kweli haipingani na akili iliyo salama, naamini baada ya kujua na kusadikisha, na akili inakubaliana ma hilo.

Ukinijibu maswali hayo nitakuongezea swali moja au mawili.
 
Kuhusu hiyo chain.
Unamaanisha ni kama walikuwa wanasimuliana vizazi kwa vizazi?
Kama ni hivo una uhakika gani hao mnaodhani walishughudia hawakudanganya? Au dunia nzima kipindi hicho ilishuhudia?.

Mimi naona ni kitu ambacho hakipaswi kuaminika labda tuu kama unatumia imani kuamini.
 
Kuhusu hiyo chain.

Haswaa, ni chain.
Unamaanisha ni kama walikuwa wanasimuliana vizazi kwa vizazi?

Bila shaka kabisa.
Kama ni hivo una uhakika gani hao mnaodhani walishughudia hawakudanganya?

Swali zuri.

Kwanza sio tuna dhani, bali tuna hakika kabisa kwa kupitia misingi ya uhakiki wa habari.

Hawakudanganya sababu, kila mapokezi (chain) huchunguzwa na kuhakikiwa na sio kila mapokezi hukubaliwa.

Unakuta tukio moja limesimuliwa kwa njia tofauti yaani si kwa mtu mmoja, bali kuna watu wengi kutoka miji tofauti wanasimulia tukio hilo hilo.
Au dunia nzima kipindi hicho ilishuhudia?.
Ukweli wa jambo fulani, sio sharti watu wengi au dunia nzima walishuhudie.
Mimi naona ni kitu ambacho hakipaswi kuaminika labda tuu kama unatumia imani kuamini.

Kwani bibie Imani kwako wewe ni nini hasa ? Maana naona unaichukulia poa kama kitu fulani hivi cha kufikirika.
 
The craziest conspiracy theory has got to be the existence of an all knowing, all capable and all loving God.

It doesn't get any crazier than that.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Almighty, the healer, the witness, the one who judges, the all knowing ...Don't you believe in God?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Almighty, the healer, the witness, the one who judges, the all knowing ...Don't you believe in God?

Sent using Jamii Forums mobile app
I don't want to believe. I want to know.

The all knowing, all capable and all loving God existing concurrently with a universe in which evil is possible is a logical contradiction, a fallacy that cannot be reality.

Either that universe exists and that God doesn't, or that God exists and that universe doesn't.

That universe exists. Therefore, that God doesn't.

This is a mutually exclusive proposition.

It is like saying there is a round square in plane Euclidiqan geometry.

You can have one or the other, never both.

Having both is total rubbish and utter grotesque illogic.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom