Haswaa.Hadi sisi tulitokana na huo mlipuko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaa.Hadi sisi tulitokana na huo mlipuko?
Okay Titicomb
Nawaza hivi kama osama alikufa siku nyingi, kwanini ndugu/washirika/watoto hawakutangaza hizi habari.kifo cha osama ni story ya upande mmoja, kwa jinsi US wanavyopenda sifa sidhani kama kuna uhalisia katika maneno yao!
anyway, hii dunia ina mambo mengi ambayo kwa akili ya kawaida doesnt make sense, ila kwa mtu anaetazama nje ya box kuna vitu haviko sawa!
Una uhakika gani kwamba ni kweli mwezi uligawanyika?Tofautisha kati ya uhalisia na nadharia za uongo, hilo la kwanza watu walishuhudia, hilo la pili ni uchachefu wa maarifa na jambo liko wazi.
Sasa jifunze kuweka kitu mahala pake.
Sababu tuna chain ya wapokezi mpaka kwa walio shuhudia hilo tukio.Una uhakika gani kwamba ni kweli mwezi uligawanyika?
Hizi ni beliefs Da'vinci bila shaka.Kwamba ukikojoa usipotemea mate ulipokojoa mama ako anakatika maziwa...Leo nina miaka zaidi ya 20 ila kila nilipokoja lazima niteme mate[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3](Mtoto wa bwamkubwa aliniambia hivo)
Hiyo haitoshi bila ushahidi.Sababu tuna chain ya wapokezi mpaka kwa walio shuhudia hilo tukio.
Ila mambo mengine yanafurahisha.. hivi nikweli kimbunga kikipitaukafunika ungo anatokea nyokaHizi ni beliefs Da'vinci bila shaka.
Hiyo haitoshi bila ushahidi.
Kama watu walitoka hadi nje wakaona dunia ni tufe wakapiga na picha na bado mnabisha, vipi hili unawezaje kuliamini?
Au kwa sababu linahusisha imani?
Kuhusu hiyo chain.Inaonekana hukuelewa kauli yangu, nakufafanulia. Nikisema "chain" namaanisha kwenye kuhakiki habari "chain" ndio inakamilisha ushahidi, kwa maneno mafupi, chain ndio ushahidi wenyewe.
Nani aliwahi kutoka nje ya dunia ? Habari zake ulizipata vipi ? Kisha kipi kilichokufanya ukakubali, au ukasadikisha ?
Imani ni zaidi ya unavyifikiria, na imani ya kweli haipingani na akili iliyo salama, naamini baada ya kujua na kusadikisha, na akili inakubaliana ma hilo.
Ukinijibu maswali hayo nitakuongezea swali moja au mawili.
Kuhusu hiyo chain.
Unamaanisha ni kama walikuwa wanasimuliana vizazi kwa vizazi?
Kama ni hivo una uhakika gani hao mnaodhani walishughudia hawakudanganya?
Ukweli wa jambo fulani, sio sharti watu wengi au dunia nzima walishuhudie.Au dunia nzima kipindi hicho ilishuhudia?.
Mimi naona ni kitu ambacho hakipaswi kuaminika labda tuu kama unatumia imani kuamini.
😈😈😈😈😈😈Sawa mkuu anything you say.
Wewe huna tatizo ila aliekuambia kuna watu walishuhudia ndo mwenye matatizo
Sawa mkuu anything you say.
Wewe huna tatizo ila aliekuambia kuna watu walishuhudia ndo mwenye matatizo
Almighty, the healer, the witness, the one who judges, the all knowing ...Don't you believe in God?The craziest conspiracy theory has got to be the existence of an all knowing, all capable and all loving God.
It doesn't get any crazier than that.
Sent from my typewriter using Tapatalk
I don't want to believe. I want to know.Almighty, the healer, the witness, the one who judges, the all knowing ...Don't you believe in God?
Sent using Jamii Forums mobile app