Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu siwezi kulinganisha Washington na Nairobi nachosema kuwa Nairobi wapo vizuri ila kwa wageni wa Safari wao wanataka Nairobi iwe sawa na New York City kitu ambacho sio kweli...ukiona Mbeya ina unafuu isifiwe kwa uwezo wake usilinganishe na London mazee...Vp ukilinganisha nairobi na miji hiyo.
Nani anajikuta mjuaji?Yanu unajikuta mjuaji kumbe pumba tupu
Wivu ya nini bro? π€£Kwa hiyo umeenda Windhoek, Gaborone, pia Rabat mpaka Doha, lakini Nairobi ukaipa sifa yake!!!?
Nauliza swali, nani anajikuta mjuaji? Kwa nini?Unauliza jibu ama
yaani haita kaa kutokea kila mbongo anaomba kazia aende akaibe aliyechoka kuiba anaanzisha biashara yake anaogopa kuajiri mtu aatamuibia.....anaajiri mtu amlinde asimuibie bongo wizi mtupu...Uje mtaala mpya..
Jinsi ya kumzuia mbongo kuiba kazini..
Sasa kama mimi ni mpuuzi kwa nini umeanza hata kubishana nami?Kubishanq na mpuuzi ni kujidhalilisha
Umeshindwa hoja unakwenda kwenye viroja, sasa unatukana wazazi ambao hata hawajakukosea lolote.Hapo mpuuzi baba yako
Na hili jamaa aliwahi kuulizwa akaliongelea kweli Bongo nyosoBenjamin Fernandez, Mtanzania aliyeanzisha mfumo wa malipo kimtandao wa NALA, alikuja Tanzania akataka kuweka makao makuu ya biashara zake Tanzania, akapata mpaka support ya rais, rais akasema atamsaidia kwa lolote analotaka. Lakini serikali ya Tanzania imem frustrate sana Benjamin mpaka akaenda kuanzisha makao makuu yake Nairobi. Maana yake analipa kodi Kenya badala ya Tanzania.
Wewe umezidi upuuzi kwa sababu umesema kubishana na mpuuzi ni upuuzi halafu bado unabishana na unayemuita mpuuzi.Bado nakazia mpuuzi aliekuleta duniani
Ndiyo hivyo, we are not serious.Na hili jamaa aliwahi kuulizwa akaliongelea kweli Bongo nyoso
Nakufundisha ukimuona mtu mpuuzi unamfanyaje.Una umri gani sista
Ushapigwa kidole tayari utulie sasaUna umri gani sista
Upo Nairobi
Wewe na Mama yako wote mshachezea cha Kati ππ½πππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½Mama yako ama
Ushalikalia dole lenye ukucha tulia kijana lisije likatoka na maviMama yako huyo
Ushaolewa au unatafuta Bwana JF?Yote unayoyasema na utakayo yasema ni ujumbe kwa wazazi wako wawe duniani ama wanaozeana makaburini ,, Aya endelea na ujumbe uwafikie
Hata kimajengo bado sana , quality ya majengo yetu ni substandard! Construction na design ya majengo yetu bado sana; comparatively ni sustandard!Tumewafikia kimajengo..
Lakini sio business culture
Hapa unaonesha utoto wako na jinsi ulivyokuwa huna heshima!! Umejiunga jf juzi tu hata mwaka hujamaliza umeanza kutukana wazee wa janvi?Hapo mpuuzi baba yako