WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Sasa fikiria kwa nini watu wafikirie ni TCRA na si vinginevyo? Upuuzi aliouanza Magu wa kuzimana na mitandao mambo ya giza sana na kuyaacha yanaendelea ndiyo sababu…Hakuna ambaye angewaza hivyo kwenye utawala wa kikwete
Sasa Magu kaingiaje APA,!?
 
Duh!!



Aisee vp kwenye Pandora papers Bongo tumetoboa, maana sijafuatilia vizuri. Uhuru hajatoboa naona kimeumana na Pandora. Tuone wakenya sasa!!!
Haina haja ya kujua maana kila mtu anaelewa vibopa wa siasa nchini ni mafisadi ( Re: A. Chenge "hivi ni vijisenti tu")

Habari kubwa kwangu ni China kuamua kutunisha kifua, je is she now an equal to the USA?
 
Kummilikisha mtu mmoja mitandao mitatu mistake

Mark ameifanya hii mitandao kuwa na sheria moja akizima anazima kote

Ni kama serikali ilivyoiminya mifuko ya jamii ikaifanya kitukimoja mwishowe na sheria zimekuwa moja likitokea la kutokea ni kote kote
Hilo si tatizo kumiliki yote, hii ni ishu tu imekumba server zao
 
Nimeingia WhatsApp nikaambiwa nichague njia ya ku backup kisha ikawa ni "You may have new messages" mpaka sasa bila kukuta uzi huu nisingetambua
 
Back
Top Bottom