Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies?

Kuuliza TISS ni sawa na mtoto kumuuliza baba mdogo wake amekujaje duniani...tegemea jibu lolote
 

Hapo kwenye mstari... nadhani hujui usemalo au wajifanya unajua usilolijua.... ni afadhali ukae kimya tu.
 

Katika UKANDA wa Afrika Mashariki na Kati, the best ni TISS. Ukitaka kujua ukweli tafuta watu wa nchi hizo hasa viongozi wakuu wa nchi then waulize. Watakwambia ni TISS na sababu wanazijua wao. Nabii hakubaliki nyumbani kwake.... tafakari. Kwa Afrika nzima, ubora wa taasisi za usalama umekuwa "ranked" na wanaojua , kama ifuatavyo:

1. EGYPT - The General Intelligence Directorate (GID), Arabic: جهاز المخابرات العامة‎ / Gihaz al-Mukhabarat al-Amma), often called theMukhabarat (Arabic: المخابرات‎ / al-Mukhabarat).
2. MOROCCO - Directorate of Territorial Surveillance (DST).
3. TANZANIA - Tanzania Intelligence and Security Service (TISS).
4. SOUTH AFRICA - National Intelligence Agency (NIA).
5. NIGERIA - State Security Service (SSS).
6. SUDAN - National Intelligence and Security Service (
Jihaaz Al Amn Al Watani Wal Mukhaabaraat).
7. Ethiopia - National Intelligence and Security Service (NISS).
8. ALGERIA - Department of Intelligence and Security (DIS).
9. KENYA - National Intelligence Service (NIS).
10. ANGOLA - National Intelligence Service.
 

your source please??
 

NEVIOT naomba source nijiridhishe.
 
...kisosi plz au tiss mmoja athibitishe haya mambo...
 

Kamuulize Idd Amin akuambie kilichomkuta. Mfuate huko huko kaburini maana naona huelewi mambo ya TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…