WHO sio wa kuwaamini tena, kila leo wantoa matamko yanayopingana.

Ndio maana Trump aliamua kuwaondolea pesa.
 
Kuna watu pua zao zilipoteza hata uwezo wa kunusa kisa mihemko ya Mkuu wa mkoa na Wizara ya Afya, ndio maana waliitwa wapuuzi. Sema na WHO nao kila siku wanabadilisha tu kauli zao, hawana uhakika wanachofanya. Serikali iharakishe kitu cha Madagascar kianze kuuzwa halafu WHO watakuja kujifunza kwetu.
 
wameikataa pia juisi ya madagascar,
 
Ipo siku Mabeberu yatamuomba radhi Rais Magufuli
Hujui mifumo wewe, unatakawaombe radhi mara ngapi? Issue ya Accacia/ makinikia waliomba radhi mwisho ikawaje? Hela mmelipwa? Acha kucheza na mfumo?
 
Inategemea na aina ya dawa inayo puliziwa

Uko sahihi mko. Kinachotakiwa ni kuleta mazingira ambayo pH balance ya sehemu husika itakuwa si nzuri kwa vidudu kuishi. Watu wengi humu hawajui hata sabuni au alcohol sanitizer ina vitu gani ambavo huua vijidudu. Hawajui hata kupuliza na moja tu ya namna na administration. Hawawezi kukua hata tofauti ya sindano, IV, kidonge kidogumu na capsules kwanini zinafanywa na mazingira yapi.
 
Sasa wameendana jikite kwenye hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una point kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lockdown waliyojiwekea wabunge wa chadema haitaisha ama?
 
Hiki kiingereza kigumu sana, hivi mbona sioni aliposema kuhusu upuliziaji dawa kama ulivyoandika kwenye kichwa cha habari? Au Mimi ndo sioni wenzangu mmeshapaona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo lipo wazi, namshauri Mh. Raisi aanze ku deal na Rwanda, Zambia na Kenya, hawana best interest na nchi yetu, umafia umafia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan nchi jirani wakifanya maamuzi ya kuji protect wao kama wao .. tanzania inaonewa? Hii mentality mnaitoa wapi? Hizo nchi si makoloni ya tanzania.
Wana sheria zao.. na katiba zao. Wana maamuzi yao wenyewe.
Waachwe.. kama vip tufanye yakwetu. Sio kuja kulalamika hapa as if tuna hati miliki za hizo nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…