Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Ikitokea iwe kweli sasa,will they stick their azzes indoors forever? Sababu kuna nchi zimelegeza lockdown maambukizi yakapanda exponentially then wakarudi lockdown tena.Wametabiri... utabiri unaweza kuwa false au true.
Hii kauli sio death sentence. Kwamba wakichosema lazima kitokee hapana.
Lockdown ni kwa ajili ya kupunguza kasi ya maambukizi. Sio kutibu
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaWe love you Coronavirus. Please stay with us safely. Don't kill us please.
You see kauli yako "ikitokea" ..hiyo ni future tense bila uhakika mbeleni hali itakuwaje.Ikitokea iwe kweli sasa,will they stick their azzes indoors forever? Sababu kuna nchi zimelegeza lockdown maambukizi yakapanda exponentially then wakarudi lockdown tena.
Yes but wakiamua kuungana kufanya kama kikundi maana yake kuna ill intention, meetings convened, decisions made...ukiwa na akili timamu utajua hawa jamaa ni wanataka kuharibia tz picha yake, kila nikisoma reports za madereva wa tanzania wenye maambukizi unakuta wako 2 - 6 kwemye waliopimwa 2300+ huko uganda, ukicheki wa kenya ni 10+ ila news ni watanzania nashindwa kuelewa...waliopimwa ni maelfu but one or two tanzanian found with covid 19 is problem to close borderYaan nchi jirani wakifanya maamuzi ya kuji protect wao kama wao .. tanzania inaonewa? Hii mentality mnaitoa wapi? Hizo nchi si makoloni ya tanzania.
Wana sheria zao.. na katiba zao. Wana maamuzi yao wenyewe.
Waachwe.. kama vip tufanye yakwetu. Sio kuja kulalamika hapa as if tuna hati miliki za hizo nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
As far as i know. Wamekuwa wakitangaza madereva wa mataifa yote na idadi yao.Yes but wakiamua kuungana kufanya kama kikundi maana yake kuna ill intention, meetings convened, decisions made...ukiwa na akili timamu utajua hawa jamaa ni wanataka kuharibia tz picha yake, kila nikisoma reports za madereva wa tanzania wenye maambukizi unakuta wako 2 - 6 kwemye waliopimwa 2300+ huko uganda, ukicheki wa kenya ni 10+ ila news ni watanzania nashindwa kuelewa...waliopimwa ni maelfu but one or two tanzanian found with covid 19 is problem to close border
Sent using Jamii Forums mobile app
HatutstoshaTutajificha chato
Hawezi kudumu kwa sababu jinsi inavyoambukiza .Itapita itarudi ya namna nyingine.Google aina ya virus vya namna hii kwa miaka 2000 urakuta kila baada ya miaka kadhaa linakuja tofauti
Ndo maana wakati ninyi mpo busy kupiga nyungu na kula malimao Kama mwanasayansi wenu nguli alivyosema Jana,wanasayansi wenye akili zao huku duniani wako buzy kutafuta chanjo.