WHO: Corona Virus inaweza isiondoke
Wametabiri... utabiri unaweza kuwa false au true.
Hii kauli sio death sentence. Kwamba wakichosema lazima kitokee hapana.
Lockdown ni kwa ajili ya kupunguza kasi ya maambukizi. Sio kutibu


Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitokea iwe kweli sasa,will they stick their azzes indoors forever? Sababu kuna nchi zimelegeza lockdown maambukizi yakapanda exponentially then wakarudi lockdown tena.
 
Ikitokea iwe kweli sasa,will they stick their azzes indoors forever? Sababu kuna nchi zimelegeza lockdown maambukizi yakapanda exponentially then wakarudi lockdown tena.
You see kauli yako "ikitokea" ..hiyo ni future tense bila uhakika mbeleni hali itakuwaje.
Even lets say ikiwa hivyo.. they will find otherway of working.
But till then hakuna mwenye uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan nchi jirani wakifanya maamuzi ya kuji protect wao kama wao .. tanzania inaonewa? Hii mentality mnaitoa wapi? Hizo nchi si makoloni ya tanzania.
Wana sheria zao.. na katiba zao. Wana maamuzi yao wenyewe.
Waachwe.. kama vip tufanye yakwetu. Sio kuja kulalamika hapa as if tuna hati miliki za hizo nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes but wakiamua kuungana kufanya kama kikundi maana yake kuna ill intention, meetings convened, decisions made...ukiwa na akili timamu utajua hawa jamaa ni wanataka kuharibia tz picha yake, kila nikisoma reports za madereva wa tanzania wenye maambukizi unakuta wako 2 - 6 kwemye waliopimwa 2300+ huko uganda, ukicheki wa kenya ni 10+ ila news ni watanzania nashindwa kuelewa...waliopimwa ni maelfu but one or two tanzanian found with covid 19 is problem to close border

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes but wakiamua kuungana kufanya kama kikundi maana yake kuna ill intention, meetings convened, decisions made...ukiwa na akili timamu utajua hawa jamaa ni wanataka kuharibia tz picha yake, kila nikisoma reports za madereva wa tanzania wenye maambukizi unakuta wako 2 - 6 kwemye waliopimwa 2300+ huko uganda, ukicheki wa kenya ni 10+ ila news ni watanzania nashindwa kuelewa...waliopimwa ni maelfu but one or two tanzanian found with covid 19 is problem to close border

Sent using Jamii Forums mobile app
As far as i know. Wamekuwa wakitangaza madereva wa mataifa yote na idadi yao.
The thing is watanzania tuko so sensitive kias kwamba hata akionekana mtanzania mmoja tayar tunaona tunaonewa.
Hii mentality itabidi iishe.
Hakuna il intention nianyoina hapa. At one point walijarib tu kushirikisha uongoz wa nchi but pres hakuwa available. Wakaona waa act wenyewe.
And for the record they have rights to do so.
With or without tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajanvi ebu tuambiane kama kunajambo nyuma ya pazia au vipi, maana juzi nilikuwa naangalia Ulaya wanavyo lokudouni kumbe hata kwenda shambani kupalilia au unamifugo yako mbali inakubidi uchague pa kuishi aidha nyumbani au ulale katika zizi la ng'ombe kama Yesu. Yaani ni ndani ki kweli kama segerea.
 
Bora shule zifunguliwe Tu maana huu utumbo wako ulioposti hauna kichwa wala miguu
 
Kama angetokea nabii /Mtumishi wa Mungu angetabiri kuwa itafika wakati watu duniani watavaa barakoa kwa hofu ya janga fulani binafsi ningekuwa mfuasi wake na ningemwamini Mungu wake.

OK twende kwenye swali : Kama Corona itakuwa ugonjwa utakaodumu duniani, je watu wataendelea kuvaa masks au watachoka na kusema kama kufa na wafe?
 
Hawezi kudumu kwa sababu jinsi inavyoambukiza .Itapita itarudi ya namna nyingine.Google aina ya virus vya namna hii kwa miaka 2000 utakuta kila baada ya miaka kadhaa linakuja tofauti
 
Hawezi kudumu kwa sababu jinsi inavyoambukiza .Itapita itarudi ya namna nyingine.Google aina ya virus vya namna hii kwa miaka 2000 urakuta kila baada ya miaka kadhaa linakuja tofauti
IMG-20200518-WA0008.jpg
 
Ndio maana wakati ninyi mpo busy kupiga nyungu na kula malimao Kama mwanasayansi wenu nguli alivyosema Jana, wanasayansi wenye akili zao huku duniani wako buzy kutafuta chanjo.
 
likianza lile jua na joto kali la dar, lile ambalo hadi usiku ukilala unaamka kwenda kukaa nje kifua wazi kupumzika, yes hilo hilo joto kama utakua umelipata tayari!.. na corona itapungua by 90% .... muhimu kujikinga kwa sasa!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utabiri wa gazeti moja Italy miaka hiyooo
Adjustments.jpg



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom