mangonifera indica
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 845
- 1,467
Madarasa yaongezwe kusiwe na msongamanoBasi hakuna haja ya watoto kuacha kusoma, wagawiwe barakoa na sanitazer warudi shuleni,milangoni mwa madarasa wawekee maji tiririka masomo yaendelee... Watu warudi makazini... Maisha yaendelee
WHO inatumika na wachina kuficha ukweli wa mamboShirika la afya Duniani WHO linasema corona inaweza isiondoke kabisa Duniani kama vile Ukimwi.
Hivyo watu tujifunze kuishi na Corona kama vile tunaishi na Ukimwi.
Nadhani hatuna sababu ya kuendelea kufunga shule na vyuo. Tuchukue tu tahadhari maisha yaendelee.
Mkirejea kitaa maambukizi yanaongezeka kwa kasi kubwa..,hapo ni kuishi nacho tu hivyohivyo na kutumia zile dawa zetu kupunguza makali.Watakaa lockdown mpaka Corona idhibitiwe.
Kama kasi ya maambukizi ni ndogo kuliko kasi ya wanaopona. Hapo halali kurejea maisha ya kawaida hata kama ugonjwa nchini ungalipo.
Waliojifungia.Nani hao?
Mkuu wa mkoa wa Geita sijui yeye anaogopa nini kumfurumsha aliyekimbia ofisi zenye kila kituBaada ya kufurushwa Dar na Makonda kumbe wakahamishia biashara yao Mbeya kwa Mdude?
Pole sana Mdude kwa kudanganywa uwe agent wa madawa ya kulevya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania tuna Raisi mwenye akili.nyingi zisizoenda na mkumbo zinajitegemea alilijua hili kabla WHO hawajajuaNadhani kwa Tanzania tumeshalijua hilo. Bado hawa majirani waliotufungia mipaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Shirika la afya Duniani WHO linasema corona inaweza isiondoke kabisa Duniani kama vile Ukimwi.
Hivyo watu tujifunze kuishi na Corona kama vile tunaishi na Ukimwi.
Nadhani hatuna sababu ya kuendelea kufunga shule na vyuo. Tuchukue tu tahadhari maisha yaendelee.