Akinukuliwa na vyombo vya habari Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Ulimenguni Dr. Michael Ryan amesema maneno yale yale aliwahi kuyasema Rais wa Tanzania kuwa Covid haiondoki leo na tutaishi nayo kama magonjwa mengine yaliyokuja kama tishio mfano HIV, TB, Surua nk.
Dr. Michael Ryan, WHO executive director, on novel coronavirus
“This virus may become just another endemic virus in our communities," Dr. Michael Ryan
(ukurasa wa facebook wa ABC News)
Ujumbe kwa waliojifungia na wanaotaka kujifungia hebu tokeni huko mafichoni, WHO na wataalam wake wameona mbali.