WHO: Corona Virus inaweza isiondoke
Kwa hiyo tuzoee haya Maisha ya kujifukiza, kunawa na kuvaa barakoa??
 
Hili gonjwa jipya kila siku bado wanajifunza na hakuna anaejua kwa uhakika ni kitu gani cha kufanya hadi sasa.

WHO mwanzoni walusema hakuna maambukizi kutoka kwa mnyama kwenda kwa biadam, baadae wakasema ni janga lakini sio hatari sana, siku zilivyoendelea, wakatangaza janga la dunia.

Wamekya wakitoa miongozo na maelekezo tata mara kwa mara, hata hii nayo sitashangaa ikibadilika.

Ikiwa ni hivyo, Tanzania itakua tupo hatua kadhaa mbele kwenye kujifunza kuishi na hili gonjwa.
 
Raisi Magufuli na raisi Nkurunzinza ndio maraisi pekee duniani waliolielewa hili kuwa maisha yaendelee tu. Hata maraisi Trump kagame,Kenyatta, museveni,ramaphosa nk.na papa na maaskofu kama niwemugizi na bagonza na viongozi wa upinzani mbowe, Lissu, kigogo na zitto kabwe nk akili hiyo hawana

Raisi Magufuli na Nkurunzinza wana akili kuliko WHO sababu hill walilijua toka mwanzo
Watanzania na warudi tuna akili kuliko wazungu na wamarekani kwenye hili
 
Shirika la afya Duniani WHO linasema corona inaweza isiondoke kabisa Duniani kama vile Ukimwi.

Hivyo watu tujifunze kuishi na Corona kama vile tunaishi na Ukimwi.



Nadhani hatuna sababu ya kuendelea kufunga shule na vyuo. Tuchukue tu tahadhari maisha yaendelee.
WHO inatumika na wachina kuficha ukweli wa mambo

Alisikika kada mmoja wa ccm
 
Watakaa lockdown mpaka Corona idhibitiwe.

Kama kasi ya maambukizi ni ndogo kuliko kasi ya wanaopona. Hapo halali kurejea maisha ya kawaida hata kama ugonjwa nchini ungalipo.
Mkirejea kitaa maambukizi yanaongezeka kwa kasi kubwa..,hapo ni kuishi nacho tu hivyohivyo na kutumia zile dawa zetu kupunguza makali.
 
Habari Wana jamiforums poleni na majukum

Leo nimesoma habari asubuhi jamiforums kwamba WHO wanasema huenda Corona isiondoke kabisa Ila ikasalia Kama ukimwi

Hii habari nilipo isoma imenishtua kidogo nikajiuliza Kama kweli tutaendelea kudum nayo Kama ukimwi vip lock down nayo utaendelea?

Mkumbuke hata uingereza amesha sema kua huenda Corona tukadum nayo mpaka miaka miwil au mitatu. Je Kuna nchi itaweza kujitegemea kwa kufunga mipaka muda wote huo ?

Pia wazungu wanao fungua nchi zao Sio kwamba hawajui kua Corona ipo na unaua wanajua Sana na wamesha ona tatizo litakua kubwa Zaid wakifungia watu ndani

Wameona ni Bora warud kufanya kazi Mana njia zote zimesha shindikana na njia muhim na nzuri ya kupambana na Corona ni kuvaa barakoa na kunawa na maji tirirka
Au wewe unawaza nn?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari ishapostiwa hapa watu wa CCM mnaboa sana ....Alafu sisi tuko bega kwa bega na Marekani.
 
Akinukuliwa na vyombo vya habari Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Ulimenguni Dr. Michael Ryan amesema maneno yale yale aliwahi kuyasema Rais wa Tanzania kuwa Covid haiondoki leo na tutaishi nayo kama magonjwa mengine yaliyokuja kama tishio mfano HIV, TB, Surua nk.

Dr. Michael Ryan, WHO executive director, on novel coronavirus
“This virus may become just another endemic virus in our communities," Dr. Michael Ryan
(ukurasa wa facebook wa ABC News)

Ujumbe kwa waliojifungia na wanaotaka kujifungia hebu tokeni huko mafichoni, WHO na wataalam wake wameona mbali.
 
Ubishi wa baadhi ya wananchi na viongozi wao katika kuheshimu masharti yote ya kupambana na coronavirus ndiyo KIKWAZO kikubwa.

Kama New Zealand wameweza kuimaliza Nchini kwao basi nchi yeyote ile inaweza kufanya hivyo.

How Australia and New Zealand are emerging from the coronavirus crisis

Shirika la afya Duniani WHO linasema corona inaweza isiondoke kabisa Duniani kama vile Ukimwi.

Hivyo watu tujifunze kuishi na Corona kama vile tunaishi na Ukimwi.



Nadhani hatuna sababu ya kuendelea kufunga shule na vyuo. Tuchukue tu tahadhari maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom