Who is INDO Power Solutions na ni nani Bw. Brian Mutembei?

Ikitokea ikawa kama Richmond au Netsolution au IPTL tutaaibika Mbeki ya kutaka pesa za kigeni tungeangalia tunafanya na nani biashara Mimi ktk kazi zangu mgodini nilikuwa na wanyima tenda makampuni ya namna hiyo kulinda maslahi ya kampuni huwezo wa kuwapa order nilikuwa nani making siuthubutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I really hope huu mchezo hawa jamaa hawaufanyi kumuaibisha Mkuu wa Kaya siku za mbeleni. Dola 180M ni hela ndefu by any stretch of imagination.

Ukiunganisha dots.....Kuna kitu hakiko sawa.

Muda utaongea.
 
Eeeh!
 
Kwa akili zangu zotee,mimi naamini kabisa usalama wa taifa ni kwaajiri kulinda viongozi tuu na maslahi yao na sio kingine.labda usala wa taifa wa enzi zile.

Najua mmo humu nyie mjiitao usalama wa taifa,namnauchungulia uzi huu huku mkiwa mmevuta midomo,ila hakuna namna aiseee.ni aibu kila siku mnahangaika na mambo madogomadogo tuuu.sina korodani aisee hivyo tusitafutane.
 
Zitto Kabwe:

Kampuni HEWA isiyo na Ofisi, wanasheria, akaunti ya Benki, wakaguzi nk inaingia mkataba wa kununua Korosho za zaidi shs 400bn na Serikali inayojipambanua kupambana na ufisadi google.com/amp/s/www.thee… ! Mbele ya Waziri Palamagamba Kabudi! @cecil_mwambe @Nnauye_Nape Jumapili njema.

Zitto Kabwe:

“It has not been lost on keen observers that a firm that is outward looking and active in international trade has no online presence. Official registration records also indicate that Indo Power has no bankers, no lawyers, no auditors, and no company secretary.”

Kwa taarifa kamili fungua hii link hapa chini:

Shadowy firm at the centre of $180m nuts deal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…