Kampuni ya RICHMOND iliyoingia mkataba na Serikali ya Tanzania kwani ilitokea wapi...??
Ukilijua hilo basi usiwe na hofu kwanini hiyo kampuni ya kununua hizo tani laki moja imekuja pasikojulikana....
Eaters are within us.
We have a cynicism problem amongst cynical politicians and followers alike in this country. The cashewnuts deal is a one off transaction, jetting money in our coffers, how and from where do you get such analogy with that doomed Richmond deal, which was designed to syphon money from our coffers?! It is crazy! Whether it is DP Ruto or Mutembei being crooks but they buy our commodity and pay us handsomely, where is the fuss? Unless architects behind this thread consider Tanzania or the government does not have goal just like them thus bring up this worthless discussion, they better get advised to rescind.
Mkuu vipi kama idara yetu ya usalama inahusika kwenye hii deal ili labda kuifichia /kuiondolea serikali aibu baada ya zile mbwembwe zote za kuwakataa wanunuzi walioletwa na waziri mkuu, kutumia majeshi na kuaminisha wakulima kwamba watalipwa bei nzuri tena on time. Badala yake ikawa ndivyo sivyo.Kwa maneno mengine: Mjukuu wa Fatma Karume, (ambaye ni mke wa marehemu Abeid Karume) ni Fatma Karume, ambaye ni mtoto wa Abeid Aman Karume..
Ninakubaliana nawe kwamba Ex Spy hapa kakosea, aliyefariki sio Alice Wanjiku Gatoho aliyeko kwenye hiyo kampuni, bali ni Alice Wanjiku Karanga ndie marehemu. Lakini hili haliondoi uhalali wa mengine aliyoyaweka katika mchango wake hapa.
Ninasikitika tu kwamba mjadala huu unaelekea kufifia na kuelekea kwenye 'archive'. Sina shaka kuna siku utaibuliwa huko na kurudi hapa ukumbini kama kielelezo cha yale tutakayokuwa tunayashuhudia baada ya biashara hii ya ajabu iliyofanyika wakati huu wa sasa. Na ninakubaliana na Ex Spy kwa kusikitikia upepo ulioikumba idara ya usalama katika majukumu yake ya siku hizi.
Nashukuru sana kuwasoma watu kama Ex Spy; Mkirindi; Bungua na wengine waliotoa somo tosha kabisa juu ya 'koroshow' hii.
Mkuu vipi kama idara yetu ya usalama inahusika kwenye hii deal ili labda kuifichia /kuiondolea serikali aibu baada ya zile mbwembwe zote za kuwakataa wanunuzi walioletwa na waziri mkuu, kutumia majeshi na kuaminisha wakulima kwamba watalipwa bei nzuri tena on time. Badala yake ikawa ndivyo sivyo.
Yeye mwenyewe ajiuzulu na sio kufukuza wengine.Jiwe, please, fukuza tena waziri wa kilimo. Mbona Chattle bado wapo watoto wa Dada wengi kushika nafasi hiyo!
ZItto, hivi ngoma yako ya terrible twins mliyocheza na Mange Kimambi iliishia wapi? Ukweli ni kuwa unajua kutokosa ila chakula chako mara zote huwa hakiivi na wala hakionekani mezani. Hivi huwa unatokasa mawe?Hii ni balaa
Wakenya wameshaanza uchunguzi wa hiyo kampuni.Balozi wa Kenya alikuwepo na akaahidi kesho yake baada ya sahihi atambrief Rais Kenyatta. Huu utapeli maana yake serikali ya Kenya inahusika. Hebu acheni propoganda uchwara.
Richmond ilikuwa ya wahindi hapo uhuru wenye biashara ya stationery na kupiga photocopies. Kifo na Usingizi havilinganishwi hata siku moja.
Zitto unautindio wa ubongo kwa hiyo mmiliki akifa au kufungwa then kampuni yake haiwezi fanyabiashara?. Hivi kweli wewe Zitto umesoma na kuelimika au ulihudhuria chuoni tu elimu ukaicha huko huko chuoni??!!
Elimu yako ya shule ya kata huwezi kuelewa, mtia saini kafa 2001 na kampuni imefunguliwa 2016 inamaana marehemu kasaini nyaraka?Zitto unautindio wa ubongo kwa hiyo mmiliki akifa au kufungwa then kampuni yake haiwezi fanyabiashara?. Hivi kweli wewe Zitto umesoma na kuelimika au ulihudhuria chuoni tu elimu ukaicha huko huko chuoni??!!
Tatizo liko wapi?Zitto unautindio wa ubongo kwa hiyo mmiliki akifa au kufungwa then kampuni yake haiwezi fanyabiashara?. Hivi kweli wewe Zitto umesoma na kuelimika au ulihudhuria chuoni tu elimu ukaicha huko huko chuoni??!!
Endelea kuongopa baadae utalala na kukoroma na siku itapita sisi Hapa Kazi Tu!!Elimu yako ya shule ya kata huwezi kuelewa, mtia saini kafa 2001 na kampuni imefunguliwa 2016 inamaana marehemu kasaini nyaraka?
Mimi niko na wewe pamoja mkuu!!Tatizo liko wapi?
Je wengine mlitaka Korosho isinunuliwe?
Hata kama Kampuni iliyoingia mkataba wa kununua Korosho yetu iolisajiliwa nje ya nchi hiyo inatuhusu nini sisi?
Jambo moja ni kuwa Serikali imepata MNUNUZI wa Korosho.
Na BENKI itakayotoa/ itakayo FINANCE manunuzi ni ya kutoka nje ya nchi hiyo. Sasa sijui povu la nini?
Mbona wengine wetu hatufurahi wakati mazuri yanapotokea NCHINI??
. Kazi ni KULAUMU tu.
sI fair!
Sometimes humu huwa tunabishana na maroboti!!Elimu yako ya shule ya kata huwezi kuelewa, mtia saini kafa 2001 na kampuni imefunguliwa 2016 inamaana marehemu kasaini nyaraka?
Ulikuwa na hoja ya msingi ya kumjibu Zito ila nadhani hukuelewa au hata kama umeelewa basi umefanya makusudi.Endelea kuongopa baadae utalala na kukoroma na siku itapita sisi Hapa Kazi Tu!!
Umemsoma ukelewa?!?.KAMPUNI IMESAJIRIWA 2016 muanzilishi kafa 2001!!!!!!!Zitto unautindio wa ubongo kwa hiyo mmiliki akifa au kufungwa then kampuni yake haiwezi fanyabiashara?. Hivi kweli wewe Zitto umesoma na kuelimika au ulihudhuria chuoni tu elimu ukaicha huko huko chuoni??!!
Zitto unautindio wa ubongo kwa hiyo mmiliki akifa au kufungwa then kampuni yake haiwezi fanyabiashara?. Hivi kweli wewe Zitto umesoma na kuelimika au ulihudhuria chuoni tu elimu ukaicha huko huko chuoni??!!