Ndio hakuna asiyekuwa na mapungufu, hata Mimi Mange kwenye baadhi ya mambo namkubali mfano ;Hata wewe unamapungufu sio ajabu kwa yeye kuwa na mapungufu
Hujui vizuri akili ya Mange...Inaonyesha ni kiasi gani alivyo kuwa mtu wa kukurupuka.
Mtu kuwa sahihi kwenye jambo Moja au mawili kati 100 sio kipimo cha akili , bora angekuwa specific labda kwenye angle Fulani na sio kuGenerelize .
1. Mange aliwahi kuwa chawa wa Samia
2. Mange alikuwa anadhalilisha watu na kutoa kwenye reli kwa mambo ya kipuuzi na video chafu
3. Mange ndiye aliyehakikisha Jeshi kutakuwa pamoja na waandamanaji
4. Na mengineyo mengi tu .
Mapungufu mengi yapi hayoNdio hakuna asiyekuwa na mapungufu, hata Mimi Mange kwenye baadhi ya mambo namkubali mfano ;
1. Mara nyingi sio mtu wa kukurupuka na habari uchwara kama wanaharakati wengine na hadandii ajenda hovyo anajua vitu vya kupuuza na vya kuongelea
2. Kuna wakati alisoma mchezo vizuri na kuonya wanaharakati wenzake baada ya MO29 kuwa wasipange maandamano hovyo sasa Ccm imejipanga vyema wataua hiyo movement ikiwa kila muda wanapanga na yanafeli matokeo yake hawakumsikikiza yakawa yanafeli hovyo mpaka sasa movement imepoa
Hapo na mengineyo Mange kwenye angle hiyo alikuwa Genius lakini bado ana mapungufu mengi na safari ndefu kumuweka kuwa GOAT kwa Wanawake that's is nonsensical
Hivyo tu ndio vinafanya awe top ?You know me quite sure, punchlines are my favorites
Issue sio tu kuwa imejengwa kwa misingi ya wengine...
Mange anajua vyema kuelewa logic behind maneno ya mtu, anajua na ana utashi mzuri wa kuelewa reason behind arguments. Alaf anaweza sana kupambanua hoja ngumu into simple and understandable words(haihitaji uwe na masters au degree kuwa hivyo)
Ohoo sikupingi tunatazama mambo kwa namna tofautiNi top pia kwasababu she can use a challenge as an opportunity. Yaani kama nyie naona giza yeye anaweza kuspot Mwangazza hata kama ni mdogo kiasi gani.
Hongera sanaAbsolutely, yaani mimi mtu akinokosoa kwa kuni hana makavu, aisee huwa namthamini na kum Heshimu sana. Huwa sinaga ego endapo ninachalenjiwa constructively.
Anaakili labda kuliko mtoa mada,binafsi namuona ni bwege tu,apige kelele mpaka ajizeekee tu,kidomo kijifunge chenyewe.Mange anamakosa Mengi mno na kasoro nyingi , kumpa sifa kuwa na akili kuliko wote hali make sense
Hana akili yeyote sema tu watz wengi ni mazumbu kuku na ndio maana wanaamini anavyo yasema hata kama haya udhibitisho.Ungesema Mange ni miongoni mwa wanawake wenye akili inge sound vizuri ila kusema et hakuna top zaidi yake ni kiichekesho cha karne
Kwahiyo yeye kupewa taarifa ni ishara kua ana akili ?Jiulize kwanini wewe hupewi hizo information bali anapewa mange
Kumbuka wewe unatumia jina bandia
Kuwa Ccm na kugombea na kupata ulaji kupitia Ccm bila kushurutishwa ukiwa mtu mzima na akili timamu kunatosha kukuweka kwenye watu wa chini kabisa .Mapungufu mengi yapi hayo
Inashangaza sanaMange anamakosa Mengi mno na kasoro nyingi , kumpa sifa kuwa na akili kuliko wote hali make sense
Hujui harakati za mapambanaMarehem JF kennedy haikuhitajika maandamano ili kum eliminate bali FBI na CIA walitosha!!
Kumuondoa kiongozi hakuhitajiki maandamano bali FBI na CIA ya huku ikisema inatosha inatosha kweli na anaondolewa!
Ukiona kiongozi haondolewi kwenye power ujue FBI na CIA ya huku wamemkubali na wewe unapaswa kukubaliana na kutafuta life lisonge!!
Mange anahamasisha maandamano ambayo kimsingi hayana uwezo wa kusaidia kuleta mageuzi nchini!!
Hana akili yoyote👎Hana akili yeyote sema tu watz wengi ni mazumbu kuku na ndio maana wanaamini anavyo yasema hata kama haya udhibitisho.
Jana nilikua busy alisemaje na sijaingia IgMfano kati ya maneno aliyo yasema Jana ni kusema eti Abduli kaishi darasa 4 huwezi amini Kuna mazumbu kuku yatakayo amini huu upuunzi.
Wewe jamaa ni waajabu lini mange amekuwa kiongozi huko ccm au amekula kupitia ccm ni lini au mwaka upiKuwa Ccm na kugombea na kupata ulaji kupitia Ccm bila kushurutishwa ukiwa mtu mzima na akili timamu kunatosha kukuweka kwenye watu wa chini kabisa .
Chuki binafsi mdogo wangu. Mange ana uwezo mkubwa sana kifikra, na anajua strategy ya kupanga hoja zake.Ni kweli hayo uliyoyasema hapo juu anayo ila sio kwa kiwango cha kumfanya awe mwanamke mwenye akili zaidi ndio maana ukiondoa habari anazoletewa za uhakika anabaki wa kawaida mnooo
Mkono mtupu haulambwi kama unaakili utajulikana tuKwahiyo yeye kupewa taarifa ni ishara kua ana akili ?
Aisee!
Akisema mtu kaishia std 4 ni kwamba hana elimu au anavyeti tu ila kichwani zero.Hana akili yoyote👎
Ana akili kwa kiasi chake sio tishio✔️
Jana nilikua busy alisemaje na sijaingia Ig
Sina chuki na mange napenda mnoo kutetea gender yangu ila kwenye postive tuChuki binafsi mdogo wangu. Mange ana uwezo mkubwa sana kifikra, na anajua strategy ya kupanga hoja zake.
Kwa mtazamo huu nadhani bado hujui kutambua watu wenye akili kibwa mkuuMkono mtupu haulambwi kama unaakili utajulikana tu
Mapambano ya kukaa america kuhamasisha maandamano watu wafe!!?Hujui harakati za mapambana
Houth walianza mapambano mwaka 1994 na wakaja kufanikiwa mwaka 2014
Ayatollah khomein kiongozi wa iran na mapinduzi mwaka 1979 alikaa uhamishoni kwa miaka 15 huku akipambana na akafanikiwa
Tatizo kubwa la watanzania mko gizani mnafikiri mapambano ni swala la mara moja