WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

1 Tim 5:23
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.


Unapingana na Biblia?
Bibilia inajipinga yenyewe, kama ilivyo Kuruani.
 
unatusimanga sisi walevi akat ww unakula nguruwe"
Kitimoto ruksa!
 

Kuna kitu ambacho hakina sumu? Nionyeshe kimoja, nikuonyeshe maelfu. Wewe kama hunywi pombe, kaa kwa kutulia.
Acha kila mtu aishi maisha yake. Haina maana dunia itakuwa nzuri sana bila wanywa pombe. Hivi kuna watu wana mizengwe kama walokole? Wanaua wenzao kwa pressure
 
Castle_Lite
Kama una gari, mtu akikuwekea alama za onyo na tahadhari barabarani, ili usafiri salama, anakuandama au anakupenda?
Sasa ww unakataza tusinywe. na sio kusema tunywe kwa tahadhali.

Unatusimanga sana wakat tunachangia maendeleo ya nchi kwa kulipa kodi...

Unajua wafanya kaz wa hivi viwanda na wamiliki na wauzaji wa pombe wanafamilia pia au wanategemea kaz hii hii ya kuuza bia.

min -me bro. tunasengenywa sana aisee
 
Walevi lazima waumaindi sana huu uzi nakwambia hutoamini, wapo wanaouguza Figo na Ini muda huu kwa sababu ya tungi
 
Ni sawa useme kiwanda cha Sigara kifungwe wakati huo kimeajiri maelfu ya watu na wao waanafanya kazi na kuendesha familia kwa kazi hio hio ya kutengeneza stimulating materials
 
Hata kuzaliwa na kuishi ni chanzo cha magonjwa na vifo. Kwa kifupi tatizo ni mwili
 
Walevi lazima waumaindi sana huu uzi nakwambia hutoamini, wapo wanaouguza Figo na Ini muda huu kwa sababu ya tungi
Hatukatai pombe ni mbaya.
Sio pombe tu. kuna sigara. utumiaji sa Sukar na wanga kupita kiasi nk nk.

Ila pia wapo wanaokunywa pombe na wamefikisha miaka 90. babu yangu amefariki akiwa na miaka 105.
Kila weekend lazima umkute bar bad alipofika miaka 80 ndio kaacha na alikuwa analetewa bia had kitandani.

Kila kitu ukitumia kistaarabu madhara yanapungua.

Narudia tena. kila kitu ukitumia kistaarabu madhara yanapungua au yanakuwa hayapo.
 
Katika uislamu pombe ni haramu kabisa kunywa,kuuza,kusafirisha,kutengeneza,kuwauzia wengine,kupangisha nyumba yako,iuzwe pombe.Kwa hiyo Mtume Muhammad, aligundua ubaya wa Pombe,miaka
Karibia 1500 iliyopita,kabla hata wanasayansi wa sasa kugundua.
 
Hata soda ni sumu so kila mtu achague sumu yake ajifie taratibu. Waiter Lete safari ya baridiiiiiiiii
 
Ndugu yangu Servus
Soma Maandiko kwa ufahamu. Yesu hakunywa pombe. Watu waliompinga ndio waliomsingizia. Maandiko hayasemi alikuwa mlevi. Walimuita ‘mlafi na mlevi’ kwa kumkejeli tu. Angekuwa anakunywa, asingesema walevi hawataurithi ufalme wa Mungu (1 Wakorintho 6:9-10)
 
Katika uislamu pombe ni haramu kabisa kunywa,kuuza,kusafirisha,kutengeneza,kuwauzia wengine,kupangisha nyumba yako,iuzwe pombe.Kwa hiyo Mtume Muhammad, aligundua ubaya wa Pombe,miaka
Karibia 1500 iliyopita,kabla hata wanasayansi wa sasa
With all due respect.

Wanaume weng wana haya mawili. kama sio mnywaji basi utakuwa na wanawake wengi.

Mtume Mohamad alichagua upande mmoja wapo.
 
Mijagamaster kama kawa,mi seafoods,totoz kwa kwenda mbele,we usinywe na cha ajabu ukatangulia kufa kabla yangu.

Babu yangu kafa mwaka juzi na miaka 123 na alikuwa mnywaji tena wa vitu vikali balaa

Hiyo sayansi yenu peleka kule,mbona imeshindwa tu kuzuia uzee achana na kuipata dawa ya ukimwi,fumbaf
 
Hivi wanaouguza figo na ini ni walevi tu?
Sio walevi pekeyake.

kuna kansa ya ini . kuna hepapatis b. nk
ugonjwa wa Figo mainly unasababishwa na pressure kuwa juu.
Wenye pressure kubwa ndio wako hatarini kuumwa figo. iwe anakunywa bia au hanywi.

organs zote muhimu zinakuwa na Kinga kubwa sana. ukiona mlevi anaumwa pia hizo jua kinga zimepungua na probably ana HIV.
 
Jamani Aviola
 
Mambo yapo wazi acha kurukaruka vifungu. Yohana alikula nzige na asali tu wakasema anapepo. Yesu anakula na kunywa wakasema mlafi na mlevi( maana alikuwa anatumia hicho kinywaji kinacho levya na kula misosi mbalimbali) na kushinda na makahaba na watoza ushuri( walioonekana wadhambi) ndio maana hakukanusha hayo. Mantiki yake ni kukemea unafiki. Wanataka awe kama Yohana ambaye nayeye walimshutumu anapepo.

Ukweli ni kwamba Yesu alikula, alikunywa mvinyo, alishinda na makahaba(M. Magdalene) na watoza ushuri (Akina zakayo). Na si kwamba walimsingizia ni fundisho mpya anatoa.

Usitumie pombe Kwa discipline yako binafsi ni nzuri. Ila si dhambi katu. Hiyo ni swala la self discipline tu.
 
Ulianza na Sayansi vizuri, ila ukaharibu ulipoaanza kutaja vifungu vya Kitabu na kuhusianisha na Mungu. Mm nimesoma mpk apo WHO 2023 There is no safe amount.......
Chagua kama ni sayansi au ni Mungu, tupe product moja.
Umenikera sana kiukweli kubadilisha mada feom science to God scripture
 
Duh. Okey.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…