WHO yaitaka Afrika kujiandaa na usambazaji wa chanjo ya corona

Ndugu, sijui uko upande gani wa dunia. Hivi unakumbuka BBC na radio za huko ulaya zimekua zikitangaza kuwa watu weusi na wahindi ndio waathirika wakubwa wa corona??
 
Ugumu wa maisha, wingi wa mitishamba na vyakula vya asili ni chanjo iliyo bora kukabiliana na Covid-19 Afrika.

WHO watoe na vigezo vya kwanini chanjo ni lazima Afrika, la sivyo watakuwa ni mojawapo ya mawakala wa NWO.

Wazungu wafike mahala waheshimu utu wa watu wengine, huu unaweza kuwa ni ubaguzi mwingine wa rangi unaondaliwa kupukutisha waafrika karne ya 21-22.
 
Umesema kweli ndugu yangu. Kama
ulikuwa unafuatilia siasa za COVID-19 utagundua kwamba kuna hila nyuma ya siasa hizi. Hivi ugonjwa unaobagua namna hii, ni ugonjwa wa namna gani. Kenya wafe kwa COVID 19 Tanzania hakuna COVID - 19. Hii imekaaje?.

Sweden hawakulock down na hatujasikia wana vifo vingi vya kutisha. Wanasayansi HALISI wanahoji kuhusu ugonjwa huu, wanahoji kuhusu uvaaji wa barakoa kama kweli unazuia maambukizi.

Wananchi wa mji wa London na kwingineko wanaandamana kuhoji siasa za COVID 19. Habari zao hazitangazwi sana kunani?. Kalaga bao ndugu zangu wanaounga mkono siasa za COVID 19 na kuchanjwa. Wahenga walisema UNACHOKIONA NI SEHEMU NDOGO TU. KIWILIWILI KIKO CHINI KIMEJIFICHA.
 
Halafu wengine wanathubutu kusema ooh Tanzania hakuna uhuru wa vyombo vya habari, ooh Tanzania hakuna demokrasia na haki za binadamu, mara ooh JPM dikteta!!
Jiulizeni hayo maandamano ya London yanayopinga mambo ya lockdown na migogoro ya wanasayansi inayohoji kuhusu uvaaji wa barakoa, mbona hayatangazwi sana kwenye vyombo vya habari???
 
Ndugu, sijui uko upande gani wa dunia. Hivi unakumbuka BBC na radio za huko ulaya zimekua zikitangaza kuwa watu weusi na wahindi ndio waathirika wakubwa wa corona??
Watu weusi wa wapi? Utakuwa ulisikiliza vibaya. Mbona takwimu ziko wazi hata uki-search unapata kila nchi ina wagonjwa waliogundulika wangapi na vifo vinavyojulikana ni vingapi? Labda wewe ulisikia walipokuwa wanasema wamarekani weusi (kitu ambacho ni kweli) huko USA waliathirika sana. Bila shaka utakuwa unasikiliza redio mbao.
 
Hii chanjo ya Covid 19 ni mpya haiko sawa na hiyo ya flu. Acha kujifanya unajua wakati wewe ni utopolo tu!
Onyesha niliposema ziko sawa! Naona unafanya conclusion za ukilaza kama Jiwe. Mr president I cannot reach you.... πŸ™„ πŸ™„ !
 
Watu kama nyie ndiyo mnaifanya Afrika iwe jinsi ilivyo sasa hivi.
 
Labda ubaki Tz milele
 
Majaribio ya chanjo yanayofanyika ulaya na Marekani ni placebo tu, ila majaribio halisi huwa yanafanuika Afrika, tafuta maana ya neno placebo
 
Si ndio hapo, umemjibu vizuri sana, kwani chanjo ya wazee wa ulaya inatuhusu nini hadi tuwajibike kuijua, to hell with it!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…