WHO yaitaka Afrika kujiandaa na usambazaji wa chanjo ya corona

Kama unaona hizi ni hisia zangu binafsi au hofu za kutengeneza basi time will tell.
 
Namna hawakosi, na ndio kama hiyo ya kifanya β€˜total placebo’ kwao na kufanya β€˜real testing’ huku kwetu. Unajitoa akili kwa kusema palcebo ni njia mojawapo ya testing huku nimeshakwbia kwamba wanafanya β€˜placebo’ kwa wote na sio nusu kama ambavyo ulivyosema, yaani kuwapa chanjo hewa participants wote inakuwaje njia ya testing sasa? Si inabidi wengine wapewe chanjo halisi na wengine wapewe chanjo hewa? Hiyo ndio testing by placebo, sio wote unawapo chanjo hewa halafu kwa Afrika wanatupa chanjo yenyewe ili tujisikie safe kwamba hata wao mbona wanapewa kumbe wote wamepewa maji. Sasa sijui unajifanya huelewi makusudi au ni kwamba kichwa kimejaa funza, which is which?!
 
Asante mkuu umemaliza kila kitu mkuu.. Binafsi sina la kuongezea.
 
Hata placebo hujui inatumikaje na kwa nini kwenye research. Idiot! Na bado nasisitiza hakuna mtu atakayekuja kukulazimisha wewe, mama yako hata mtanzania yeyote kuchanja. Nashangaa unapoanza kulialia kama umeambiwa watakuja kukulazimisha. Hangaikia ufukara uliotamalaki kila sehemu kwenye nchi yetu wacha kujitwisha mambo yanayokuzidi uwezo.
 
Sasa kuniita idiot bila hoja unatofauti gani na kenge? Maana hata kenge anaweza kukuita idiot bila hoja yeyote ile. Nimesema placebo inakuwa na maana kama baadhi ndio wanapewa chanjo ya placebo na wengine wanapewa chanjo ya ukweli, sasa wao wanawapa washiriki wote wa amajribio chanjo ya placebo, sasa hiyo ni research au kanyaboya lamkutuingiza Afrika kingi ili tuone na wao wanatumia hiyo chanjo? Hiyo ndio hoja, badala ya kujibu hoja unakuja kubana pua kama xhoga muharisha mchuzi, imbicile
 
Aliokula hela ya beberu ndio achanjwe sisi tunaonewa tu jaman
Hahahahahahahahahahahah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, hela ya beberu tushakula na kuchanjwa hachanjwi mtu hapa, ndio tushasema sasa πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ€›πŸ½πŸ€›πŸ½πŸ€›πŸ½πŸ€›πŸ½
 
Ndugu yangu fungua macho uone na masikio usikie. Mfuatilie DAVID ICKE na wengineo ujue siasa za dunia na nafasi yako kama binadamu. Jiulize kwa nini wataalamu magwiji wa sayansi ya virusi n.k hawapewi nafasi katika suala la COVID 19 bali matajiri wa dunia na wanasiasa wa dunia.

Je bila Mh Magufuri mwanasayansi kusimama kidete hata uwezo wa kununua kifurushi cha kuwasiliana kwenye JF ungekuwa nao?.

Je,kwa nini vyombo vya habari vya dunia haviwapi nafasi hawa magwiji wa sayansi ya virusi tukawasikia. Kalaga bao.

Namalizia kwa kusema SISI WANADAMU TUJIFUNZE KUHOJI MAMBO. Nina imani Waafrika wenzetu nchi jirani wanahoji iweje Tanzania wajaze watu viwanja vya mipira na bado wako salama?.. Je, iweje Tanzania wajazane kwenye kampeini za Uchaguzi mkuu na bado wako salama?. KALAGA BAO.
 
Wewe ni mmoja ya watu wenye ufahamu mdogo sana na inaonekana kabisa hujisomei. Nani kakuambia Tanzania iko salama bila covid? Umedanganjwa na Magufuli ambaye wewe unamuita Magufuri? Basi kwa taarifa yako ni kuwa covid bado ipo Tanzania kama ilivyo Kenya, watu wanaugua na kufariki kama ilivyo Kenya. Toafauti ni kuwa Tanzania hawatangazi na Kenya wanatangaza. Na huo ujinga mnaolishana kuwa matajiri na wanasiasa hawawapi nafasi wataalam ni kinyume chake. Tanzania wanasiasa ndiyo wamejipa jukumu la kupambana na covid na kutopata wataalam nafasi wakati nchi nyngine wataalam wapewa nafasi. Au wewe unaona marais au mawaziri wakuu wa nchi wanavyotoa update na maelekezo unadhani wanajikurupikia kama hapa kwetu walivyokuwa wanafanya kina Makonda? Huko ni wataalam wanawape maelekezo wanasiasa ni nini cha kufanya!
 
Nimekuita idiot na bado nakuita tena idiot kwa sababu unazusha uongo au unaleta ndoto zako za kijinga hapa na kutaka watu wazikubali. Toa ushahidi kuwa hizo chanjo siyo na dawa ya chanjo! Ulishiriki kuandaa? Ulizipima? Ulifanya utafiti gani? Ni nini kimekufanya utoe madai ya kijinga namna hiyo bila ushahidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…