Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

#kwanza melanin n molecule inayotengenezwa na cell za ngozi zinazoitwa melanocytes
#melanin ndo inayo determine rangi ya ngozi na nywele bila kusahau iris ya jicho
#kwa haraka melenin zipo za aina mbili
#yakwanza na ambayo ipo kwa kiwango kikubwa n Eumelanin
#nyingne n Pheomelanin ambyo ipo kwa kiwango kidogo na inazalishwa na melanocytes za baadhi ya maeneo kwa body yako(lips,vagina,glans penis n.k)sasa hii ndo inafanya hayo maeneo yawe pink au red
#tukirud juu Eumelanin zimegawanyika into black and brown eumelanin.kwa maelezo hayo sasa mtu akiwa na kiwango kikibwa cha black eumelanin anakuwa mweusi na nywele pia na vile vile mtu akiwa na brown eumelanin bila black eumelanin anakuwa white(brownish)
SASA NN KINATUFANYA TUWE NA VIWANGO TOFAUTI VYA HIZI AINA ZA MELANIN
¥hii inatokana na information iliyopo kwenye DNA(vina saba)
ILA KWA NN DNA ZETU ZINA CODE TUWE WEUSI WENGINE WEUPE NDO CHA KUJADILI SASA.

. naruhusu kukosolewa
 
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color
To be more accurate it is a matter of survival of the skin tones and mutations. In the european areas there isnt as much sun and there is a different climate. Those that migrated from africa and those would have survived would have had to prefer lighter pigmentation and would have bread with the lighter pigmented people causing the who demographic to change.
 
kwa maneno yako tu, acha niseme nimefuta kauli! narudia kusema nimetengua kauli yangu na Mola anisamehe
 
Hilo nalo ni Jibu? kwanza vichapizi lukuki.... Mwanaume ametoka ukeni mwa Mwanamke..... hizo Story tena za Koran zipo low sana tena zimezuka baada ya michambuzi mingi sana kufanyika... na koran zilikuwepo mbili Mudi akachagua Moja huku akiisifia baada ya kuandikwa na ushahidi upo... Ukisema Binadamu wameumbwa huwezi pata evidence hata kesho... wajua kuna Nyani pia wana rangi tofauti, Paka Ndege n.k hicho kitabu chako hakiwezi leta majibu hapa... lete mada za Kisayansi... na sio old Story za Mashariki ya kati
 

SWADAKTA NIMEFURAHI KUSIKIA HII ELIMU YAKO. LAKUSISITIZA NI KWAMBA HIVI VITABU VIMETUMIKA KUCORRUPT MIND ZETU. KWANI ZILITUMIKA KUTUONDOSHA KWENYE MFUMO WETU WAKIROHO.
BINADAMU TUMEUMBWA NA MAMA ZETU TUKIWA HURU NA AINA YEYOTE YA UCHAFU. VITABU VYOTE VIMEANDIKWA NA WATU NA TUMEVIKUTA BAADA YA KUZALIWA. NI KITU GANI KINATUFANYA TUZIBEBE WAKATI TUMEZIKUTA HAPA NA HATUKUZALIWANANVYO? HUU SIO WAKATI WA KUHANGAIKA NA NADHARIA DHAIFU KWA KUWAJAZA WATU MASWALI AMBAYO HATA WAO HAWAWEZI KUYAJIBU.

TUNAHITAJI KUULIZA KILA KITU NA TUFAHAMU. MAANA KUFAHAMU NI BORA KULIKO KUAMINI. NATURE INATUAMBIA NINI?

AFRIKA NDIO ARDHI PEKEE DUNIANI ILIOJUU KIMAUMBILE NA ARDHI YENYE UTAJIRI KULIKO ARDHI YEYOTE. IT TAKES THE ABORIGINAL TO PICK WHAT IT IS ORIGINAL.

WOTE WANAISHI KUTEGEMEA AFRIKA KUTOKA DAY ONE NA OBORIGINAL BLACKS NDIO WAMILIKI WA MAMBO YOTE. ALL OF THEM THEY HAVE STOLEN OUR IDENTITY KWA DAMU BAADA YA KUTUINGIZIA FEAR NDIO UZUSHI WA VITABU VYAO TUKAVIKUMBATIA.
 


Thanks man ur quite right
 
Hii topic mpaka mtu aje aelewe itachukua kitambo sana!
 
Hata ukijibiwa kitaaluma huwezi elewa sababu unauliza swali utadhani una IQ level ya mtoto wa miaka 3.
 
lol....
 

Ndugu,hao viumbe wa zamani waliokuwa na miili mikubwa(Giants) wanafanana tu na sisi lakini ni specie tofauti kabisa na sisi,kwenye classification tupo kwenye family moja ya hominidae lakini specie ni tofauti.Hata hiyo zamani unayosema wewe bado binadamu wenye maumbo madogo kama ya sasa walikuwepo(tofautisha na utapiamlo wa watu wengi ktk nchi changa),hebu fuatilia habari ya Daudi na Goliath kwenye biblia(hapa usichukulie biblia kama kitabu cha dini,bali chukulia biblia kama hifadhi ya rikodi/taarifa za kale).

Soma kitabu cha 'Numbers'/Hesabu 13:33 kinaelezea uwepo wa viumbe wakubwa sana kuliko binadamu(homo sapiens) lakini wanafanana kabisa na binadamu,viumbe hawa kwa jina la kawaida huitwa giants/nephilim/watchers katika vyanzo tofauti.Viumbe hawa wakubwa wana tofauti na sisi katika 'body anatomy' hasa mpangilio wa mifupa yao kuanzia fuvu,mbavu,miguu nk.

Mfano;Kenge hata akiwa na umbo kubwa namna gani,hawezi kufikia umbo la mamba hata kama wanafana kwa muonekano,kufanana kwao haina maana kwamba kenge ni mamba.Basi vivyo hivyo kwa paka na chui,nyoka(cobra) na chatu,nzi(housefly) na mbung'o,nk.

Kipindi cha sasa binadamu(hasa wa nchi zinazoendelea) wanazidi kuwa na maumbo madogo kwa sababu nyingi lakini si evolution.Kuna sababu kama vile utapiamlo,chanjo(vaccines) nk.Hata kwa hapa hapa Tanzania maumbo ya watu wa kipindi cha nyuma na sasa ni tofauti,utofauti huu hausababishwi na evolution,bali ni sababu kama hizo nilizotaja hapo juu.

Rikodi hizi za viumbe hawa wakubwa zipo pia katika hifadhi ya rikodi za zamani za waislam,na katika biblia utazikuta katika kitabu cha Hesabu na Mwanzo(Genesis),pia utazikuta katika hifadhi ya rikodi katika nchi mbalimbali kama vile Misri,Sudani,China,nk, na hata Tanzania zipo kama utaamua kufuatila historia vizuri,unajua kitu kinachoitwa 'big foot'?

Mambo haya unapoyasikia mara ya kwanza ni rahisi kupinga kutokana na kasumba tuliyolishwa tangu wadogo kama vile ile ya evolution,lakini ukiamua kudadisi utajua ukweli halisi ulivyo,wale waliotudanganya wana kusudi kubwa sana lakini watu wengi hawajui tu.Watu wengi hasa wakristo wanasoma biblia kama kitabu cha dini tu,lakini hawatumii akili zao kudadavua kilichomo ndani yake,hebu fuatilia historia ya Noa/Nuhu kwa makini sana najua utagundua kitu fulani kuhusu rangi,ukubwa wa maumbo nk.Kwenye historia ya Nuhu kitu kikubwa ambacho wakristo wanakiona ni mafuriko tu yaliyoletwa na mungu,basi,hawaoni jambo lingine zaidi ya hapo.

Nasisitiza tusome vyanzo mbalimbali ili kuondoa kasumba iliyotuharibu kwa muda mrefu,kasumba hii ndio inayotufanya tumsujudie mzungu na kujiona sisi ni dhaifu.
 
Hii ni zaidi ya hadithi.
 
Ndg, Najua umeeleza kwa Uchungu sana kwa kuwa umekuwa ukishuhudia watu wanavyo muabudu Mzungu.
Ni zama za ujinga zilikuwa.
Ila sasa kila anefuatilia kwa kina Thread zilizopita mpaka sasa Ni wazi AMEBADILIKA
na si yule tena.
 
Viumbe wengi hawako katika rangi moja. paka, ngombe, mbuzi, tuseme wanyama wote wako katika rangi tofauti.

lakini ukija kwa wanadamu pengine twaweza kugues kuwa mtu mweupe alitengenezwa kabla ya mtu mweusi maana ngozi ya mtu mweupe ina mapungufu katika kukabiliana na mionzi ya jua.

then katika second version tatizo hilo likarekebisha kwa kutoa new version ambayo ilikuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto zilizopatikana katika toleo la kwanza.

au tuseme mtu mweusi aliongezewa i think melanin katika ngozi kitu ambacho kikiwa pungufu anarudi kwenye toleo la kwanza kwa kutokea kama zeruzeru.

 
Duniani hakuna mtu mweupe......wale unaowaona weupe rangi yao ni ya nguruwe(Pig colour) au rangi ya boga....(Pumpkin Colour)......Rangi nyeupe ni kama maziwa au chokaa.

Therefore white people is a myth
 
Ukiizungumzia Africans Jua kuna na Waarabu na wengine wenye ngozi Nyeupe.. Je wao Jua haliwapati...!?
Hii dhana nilishaikataaga zamani sana, tazama middle east hapo jua linapogonga pia au wao haliwahusu.
 
Variations based on mutations? Ni kweli watu weusi wanaonekana maeneo ya tropiki katika mduara wa dunia (globe). Hata hivyo, tofauti ya watu wenye ngozi zisizokuwa nyeusi na waafrika si rangi ya ngozi tu. Kuna nywele za kipilipili ambazo ni tofauti sana. Hata sokwe na wanyama walio kama binadamu (Primates) wote nywele zao (hair) ni za moja kwa moja si za kipilipili (curls) kama za mwafrika. Ukichukua nywele, wazungu wako karibu zaidi na sokwe kuliko waafrika.

Kwa hiyo, yes ni kweli evolution ina maelezo yanayosisimua sana kuhusu asili ya tofauti, lakini haitoi majibu yote kama tulivyotarajia. Skin pigmentation kusababishwa na melanin ni sawa, ila hiyo ni observation ya hali ilivyo. Maelezo ya ni kwa nini iwe hivyo hayapo. Kuwa kwenye tropics kuna jua sana, yes, hata North wakati wa summer kuna jua kali sana tu. Southern Africa kuna winters (sometimes zenye snow), ila watu wa kule ni weusi (ngozi na nywele).
 
Hii dhana nilishaikataaga zamani sana, tazama middle east hapo jua linapogonga pia au wao haliwahusu.

Kaka naomba nikusahihishe kwanza. Duniani hakuna sehemu inaitwa MIDDLE EAST. maana Kama ipo nionyeshe MIDDLE WEST, MIDDLE NORTH na MIDDLE SOUTH.

HAKUNA GEOPOSITION INAYOITWA HIVYO. IT IS A CORRUPTION TERM YA CORRUPT MIND.

walihalalisha kisiasa kwa sababu ya israelis( Israel fake) walipovamia ardhi ambayo sio yao na kukana kwamba hawako Northern East Africa au west Asia.

Sasa Jiulize kwanin Hao watu wa Arabia peninsula wanaoenda kufaa vazi la hijab yenye rangi nyeusi sehemu yenye joto kali?

Kumbuka lile eneo lote lilikaliwa na dark people ambao leo ni minority. why minority? Hawa watu wameiba identity nakujifanya wao ni waarabu na waisrael. Wakati kiukweli hawawatu ni wavamizi na mapenetrators.
Rejea Kitabu cha Zaburi ya 83 utaelewa namaanisha nini. Na zaburi hii inaowana na Berlin conference. Fanya Tafiti NDG.
 
Halafu hua najiuliza kwanini ni rahisi mweusi kua mweupe tena kwa haraka tu, kuliko mweupe kua mweusi?

Wataalamu msaada plz.
Naona tatizo kubwa ni mtu mweupe kugundua dawa ya kubadili mtu mweusi kuwa mweupe sasa mweusi mpaka leo hii hawezi kubadili nyeupe kuwa nyeusi
 
Kuna wazungu husema wanapenda rangi nyeusi, je ni kweli wameshindwa kutengeneza mkorogo wakawa weusi na wao au tayari wametengeneza ila hawajaanza kutumia au tayari kuna waliowahi kutumia.
????
Wazungu wanafiiki sana usiwaamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…