Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Kwanini wazungu wakija Afrika wakioana wenyewe kwa wenyewe wanazaa mzungu badala ya kuzaa mweusi.

The same na Waafrika wakienda Ulaya au Uhindini wakioana wenyewe kwa wenyewe wanazaa mweusi na sio mzungu
 
Very mediocre reasoning.You couldn't be worse than a STD VII pupil.Always remember that not everything you have been taught in school is correct.I would say 85% of it is indocrination if not all of it.Wake up man!
 
Naona tatizo kubwa ni mtu mweupe kugundua dawa ya kubadili mtu mweusi kuwa mweupe sasa mweusi mpaka leo hii hawezi kubadili nyeupe kuwa nyeusi

Itabidi tuingie maabara na sisi tutengeneze hiyo dawa,
Kama wao wameweza, kwann sisi tushindwe.
 
Sasa uumbaji kivipi? Si nasikia waliumbwa watu wawili tu hapo mwanzo ambao ni Adam na Eva sasa hizi rangi zilikujaje???
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] nimeuliza tu ili nijue maana sielewiii
Waliumbwa wawili lakini leo duniani tuko karibia kabisa bilioni 7, ukipata chanzo cha hili ongezeko kutoka wawili mpaka bilioni saba utakuwa umepata na jibu hilo pia
 
MIE NAJUA HAKUNA MTU MWEUSI AU MWEUPE. NYEUPE NAJUA IKO KAMA KARATASI. KAMA KUNA MTU ANA RANGI YA KARATASI NIAMBIWE. LAKINI HATA KAMA ANGEKUWEPO BADO NI UUMBAJI WA MUNGU NOTHING MORE THAN THAT.
 


Mzungu ndiyo amekwambia kwamba kuna watu wa njano na wewe kwa ujinga wako unakubali!
 
Waliumbwa wawili lakini leo duniani tuko karibia kabisa bilioni 7, ukipata chanzo cha hili ongezeko kutoka waliwi mpaka bilioni saba utakuwa umepata na jibu hilo pia
Hapo bado hujajibu swali, mbona ukoo wetu pia walianza wawili lakini mpaka leo bado sijaona wakizaliwa ndugu wazungu, wachina au wahindi bila kuchanganya damu??
Acha utani mshana hebu nijibu basiii[emoji134]
 
Hapo bado hujajibu swali, mbona ukoo wetu pia walianza wawili lakini mpaka leo bado sijaona wakizaliwa ndugu wazungu, wachina au wahindi bila kuchanganya damu??
Acha utani mshana hebu nijibu basiii[emoji134]
Jimena unataka kufananisha kikombe na pipa? Kwanza leo ni siku ya kuchill sitaki kabisa kuumiza kichwa...Leo ngoja niipe nafsi ile kitu napenda....tuonane jumataatuuuuuuu
 
Jimena unataka kufananisha kikombe na pipa? Kwanza leo ni siku ya kuchill sitaki kabisa kuumiza kichwa...Leo ngoja niipe nafsi ile kitu napenda....tuonane jumataatuuuuuuu
Hahahahahaha basi sawaaaa..... Enjoy your weekend
 
Kuna wazungu husema wanapenda rangi nyeusi, je ni kweli wameshindwa kutengeneza mkorogo wakawa weusi na wao au tayari wametengeneza ila hawajaanza kutumia au tayari kuna waliowahi kutumia.
????
Karne hii,na umasikini huu bado tuna muda na akili za kufikiria haya ??? Then tunalalamika kwa nn hatuendelei ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…