Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Daah basi ni hatari sema huyo ni muhuni tu wala sio mfanyabiashara yeyote anapewa hela na mjomba ake Raisi za kuchezea na kuingia mikataba ya kihuni ukimgusa huyo muhuni Zimbabwe unapotea anafanya anachotaka..Nenda kwenye page yake - Sir Wicknell
Fedheha sana unakua muoga, hujiamini, unajipendekeza bure bila sababu.Umaskini fedheha.
Bonge Chivayo mbona kama huwa anajiachia sana kwa mkulu wa kaya.
Hivi vasco da gama ameshaenda kuhani msiba kweli?Kuna kitu hakipo sawaa apa sio kwa hug hilo.....kwanza ni haramu afu lipostiwe public nonono
Hivi kuna ata kiongozi mmoja apa Tanzania wa kiume aliemkumbatia mkuu kama alivyofanya huyu mwamba...!!?
Hawajapost wao hizo picha, bonge nyanya ndio kapost na ndio kawaida yake hanaga kifua huyo mwambaUhuru wanampa wao, picha wanapiga wao na kupost wanapost wao. Sisi tukizichukua na kupost humu tayari inakuwa shida
NA nani? Wapi?😂🙌Kwa nini hajapiga magoti?Atafurushwa,shauri yake!
Na mungu hapo alipo.NA nani? Wapi?😂🙌
Mi nikisema wao, namaanisha wahusika wanaokumbatiana. Either mgeni mualika or mwenyeji wake. Sasa iwe halali yeye kupost si tukiichukua na kuipost iwe haram! Shame on them.Hawajapost wao hizo picha, bonge nyanya ndio kapost na ndio kawaida yake hanaga kifua huyo mwamba
Huyu anaweza kupigaWakuu
Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko Zanzibar.
Sir Wicknell, amesema jana alikwenda Ikulu kumtembelea na kumfariji Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir Hassan.
Katika ujumbe alio-share mitandaoni, Septemba 11, 2026, Sir Wicknell amemuelezea marehemu Hafidh kama mtu mwenye hekima, unyenyekevu, heshima na moyo wa upendo, huku akiomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja Rais Samia pamoja na familia katika kipindi hiki cha maombolezo.