Kwa hiyo mnataka zifichwe ili iweje?Kwanza, kwa mujibu wa Islam, hata ile kupeana mikono na mtu wa jinsia tofauti ambae sio ndugu yako wa karibu hua hairuhusiwi.
Sasa huyu hua ana bambia kabisa.
Watu wa protocol wameridhia kwa dhati hili jambo na kuona ni sawa hizi picha kwenda public?
Tatizo la machawa au tiss wa nchi hii hawazuii matukio kutokea. Huko kukumbatiana wao wanaona sawa, watu wakikomenti kwenye mitandao ndo wanakimbilia kufungia social media au kuteka watu.Oya hizi hatutafungiwa JF yetu tena? Maana huyu ndo chanzo cha kutuweka kando kwa miezi
Kwa mujibu wa Quran hiyo ni Sunna, Niko hapa masjid tawakal Zanzibar karibu uulize swali lingine.Malaria 2 Mwanaume Kumkumbatia mwanamke aliye eda inaruhusiwa?
Mtu mnafiki kama huyo hatakiwi kuwa Rais atatuharibia zaidi nchi yetu.Fedheha sana unakua muoga, hujiamini, unajipendekeza bure bila sababu.
Hadi sasa najiuliza Mwigulu Nchemba kuvua viatu pale kwa Samia na kujivalisha mikanzu bila sababu.
Nyerere aliwahi kusema "Jitu lenye pesa" jitu lenyewe ndiyo Hilo hapo mkuuHuyu dogo ni nani mpaka anamkumbatia na kumpumulia Rais wetu namna hii?
π€£π€£Huyu ndiye alituponza tukafungiwa JF. Sasa kwa mara nyingine tena kakumbatiwa
π€£π€£Ngoja ninyamaze sitaki JF ipigwe ban na TCRA kama mwaka jana kisa huyu jamaa alivyokaa kwenye makochi ya pale ikulu
π€£π€£Natamani nitoe neno....Ila huyu jamaa huwa anatuchomesha sana π
Mmeanza πdini yetu hairuhusu kumbatio ila huyu jamaa kweli anatmba!!mhhh
Jipe moyo
π€£Jamaa linapenda sana kukumbatia hii pisi
π€£unae Wakili mwenye iq kama ya TAL
πUkisikia JITU LA MIRABA MINNE ndo hili sasa. We kuweza?
Acha uoga mkuu πMods toeni hii, itatucost
π
Kuna namna hapa kati ya Wickeness Chimaviyo hasa kwenye wakati na ulimwengu huu wa mishangazi. Akina bashit watakuwa wanaumwa roho. Sikumbuki Samuya kumkumbatia hata Magu aliyemtengeneza. Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba mjue. The bay is now clear.Wakuu
Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko Zanzibar.
Sir Wicknell, amesema jana alikwenda Ikulu kumtembelea na kumfariji Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir Hassan.
Katika ujumbe alio-share mitandaoni, Septemba 11, 2026, Sir Wicknell amemuelezea marehemu Hafidh kama mtu mwenye hekima, unyenyekevu, heshima na moyo wa upendo, huku akiomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja Rais Samia pamoja na familia katika kipindi hiki cha maombolezo.