Kwanini usimuulize mkeo..au umeona na sisi humu ni wake zako.?we jamaa punguza dharau.1. Wimbo wa Mbaraka Mwishehe- ntamtuma mshenga,akinikuta naskiliza huu wimbo huwa ananichukia Sana Tena huwa hatak hata kuniongelesha,yaan cku hyo nitaishi kwa shida Sana
2.Mpenzi Luta by Mutombo,pia na yenyewe anachukia,
Wajuz wa Mambo naomba ufafanuz juu ya Hil il niwe na aman na familia yangu
Na isitoshe leo ni siku ya amani dunianiMkuu, anayechukia ni mkeo, ufafanuzi wakupe wajuz!
Tz si ni kisiwa cha Amani? We uko wapi kwani? Kama issue ni panya road, hao no dk chache tu, la nenda hata pale Buguruni Polisi, UTAIPATA AMANI pale
Toa maon kulingana na matakwa ya madaKwanini usimuulize mkeo..au umeona na sisi humu ni wake zako.?
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kama hujaona jibu hapo mwanetu acha mkeo anune tuJaribu kwanza kunshaur mkuu
Kuna kula chakula alichoandaa wife kisha kuna kumla wife mwenyewe.Wife huwa analiwaje jamani? Nfundishe mkuu