Wife akinikuta nasikiliza nyimbo zifuatazo huwa ananichukia sana, tatizo nini wadau?

Wife akinikuta nasikiliza nyimbo zifuatazo huwa ananichukia sana, tatizo nini wadau?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
1. Wimbo wa Mbaraka Mwishehe- ntamtuma mshenga, akinikuta nasikiliza huu wimbo huwa ananichukia Sana Tena huwa hataki hata kuniongelesha, yaani siku hiyo nitaishi kwa shida sana

2. Mpenzi Luta by Mutombo, pia na yenyewe anachukia,

Wajuzi wa Mambo naomba ufafanuzi juu ya Hili niwe na amani na familia yangu
 
1. Wimbo wa Mbaraka Mwishehe- ntamtuma mshenga,akinikuta naskiliza huu wimbo huwa ananichukia Sana Tena huwa hatak hata kuniongelesha,yaan cku hyo nitaishi kwa shida Sana
2.Mpenzi Luta by Mutombo,pia na yenyewe anachukia,
Wajuz wa Mambo naomba ufafanuz juu ya Hil il niwe na aman na familia yangu
Kwanini usimuulize mkeo..au umeona na sisi humu ni wake zako.?we jamaa punguza dharau.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, anayechukia ni mkeo, ufafanuzi wakupe wajuz!

Tz si ni kisiwa cha Amani? We uko wapi kwani? Kama issue ni panya road, hao no dk chache tu, la nenda hata pale Buguruni Polisi, UTAIPATA AMANI pale
Uko nje ya mada
 
Back
Top Bottom