44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
1. Wimbo wa Mbaraka Mwishehe- ntamtuma mshenga, akinikuta nasikiliza huu wimbo huwa ananichukia Sana Tena huwa hataki hata kuniongelesha, yaani siku hiyo nitaishi kwa shida sana
2. Mpenzi Luta by Mutombo, pia na yenyewe anachukia,
Wajuzi wa Mambo naomba ufafanuzi juu ya Hili niwe na amani na familia yangu
2. Mpenzi Luta by Mutombo, pia na yenyewe anachukia,
Wajuzi wa Mambo naomba ufafanuzi juu ya Hili niwe na amani na familia yangu