Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Kwa kipato Chako mwalimu ukitaka kudhalaulika na mkeo basi we endelea kumluhusu atembeze hizo juis.
Kuna siku utarudi kutoa ushuhuda
 
Nadhani jibu n chanya na sio asi
 
Umenikumbusha mwaka jana tulienda kufanya kazi timu ya Wahasibu Waandamizi. Dada mzuri muuza juice akawa kapata wateja. Wotee 4 tukajikuta tuna namba na kila mtu anaimbisha kwa wakati wake. Fikiria kama ni mkeo atawakataa wote hao?
 
Wako VIP anafanya Kaz gani ,au Yuko serkalini mtumba huku🤣🤣
 
Hao wauza juice na Yale mabando uwa wanakanyagwa sana na jamaa wa garage
 
Hao wauza juice na Yale mabando uwa wanakanyagwa sana na jamaa wa garage
Mbna jamaa wa garage hawna pesa ,lzma uwe na pesa ndio umalale mke wangu SAS kafundi garage Ana nn Cha ziada
 
Ushawahi kuona juisi moja ya 500/= inanunuliwa kwa 10,000/= halafu mteja anamwambia, "Kuwa na amani baki na chenji haina shida"

Ila nikutie moyo, kama mke wako ni mtu wa kukitembeza, hata umuweke ndani bado atagawa tu na kama anajiheshimu atakaza.

Tuje kwenye swali la kizushi, unafikiri kwa tabia ya mkeo akifuatwa na vijana wa hovyo 10 ataweza kukaza kwa hao wote?

Ushauri wangu mruhusu tu kufanya biashara ila muwekee mipaka, isije ukagongewa hodi usiku saa 2 au 3 umetulia na familia yako halafu vijana wanamuulizia mkeo, wanataka juisi.
 
Hata akibaki nyumbani waremba kucha, wauza mkaa, machinga na vikundi vya vikoba watamumudu akiingia anga zao. Kunguru hafugiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…