Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Yaani nchi isisimke sababu ya maupumbafu pliz tupeni breki!!!
 
Jana nilimuona A Town na MH.LEMA nikajiuliza na nikamuliza Mh lema vipi huyu kiongozi wa ccm anatafuta nini lema kanikonyeza na kusema kamanda kaja kujisajili.



Swissme

Nani huyo.........?....
 
Nchi kutikisika?? For real? Labda Magufuli anahama. Lets wait and see...
 
Wakija kwenu mnashangilia kweli kweli, wakianza kurudi walikotoka mnalalamika kuwa kuna mpango wa kuuwa upinzani. Siasa za bongo ukiwa mtazamaji ni burudani tosha.
Hahahah..ndio maana magufuli aliwaambia Bado watoto wanahitaji kuendelea kulelewa
 
Mtu pekee wa kutikisa nchi akihama chama ni JK
 
please chadema, msipokee mtu yeyote toka ccm...please and please tuliopo tunatosha kukijenga chama tunatosha kabisa...
 
angesubiri mwakani/karibia na uchaguzi kama ni president material kama ilivyo kuwa kwa Ngoyai ingeleta amsha amsha zaidi
Amna shida mwakani ata kuja mkapa!!
 
Wahame hame tuuu mm hawajawai kutusaidia lolotee..Wananuliwe na wapewe hela tuuu...
 
Hawana lolote zaidi ya ku pre-empt
 
msimu wa dilisha dogo bado unaendelea
SIASA ZA BONGO
 
Uyu kikwete atakua asee...sio kwa kuumia kule
 

Mzee kumbe ulimwamini Lema kwa kauli ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…