Barua ipi iliyopelekwa bungeni.It means, muda uleule alipojiuzulu, barua ya Mjuzulu JYN iliwasilishwa Bungeni. You must note that Bunge ni kama ^sirikali;^ huwa haiendi likizo literally.
Kwani umepita Bungeni ukaikosa barua hiyo?Barua ipi iliyopelekwa bungeni.
Hoja ni kwa nini ameipeleka CCM badala ya Bungeni?Kwani umepita Bungeni ukaikosa barua hiyo?
Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko
Kumekuwa na mjadala kutoka baadhi ya watu mbalimbali mtandaoni juu ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika Mh Job Ndugai. Ulianza mjadala kwamba kwanini ktk barua yake ameandika herufi kubwa pekee? KIMSINGI kilichosambaa mtandaoni siyo barua bali ni TAARIFA KATIKA VYOMBO VYA HABARI ambayo ni sawasawa...www.jamiiforums.com
Jicho la kisheria kuhusu uhalali wa barua ya Spika Ndugai kujiuzulu
Nikiri wazi kuwa nami, nikiwa mtanzania wa kawaida na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa na kijamii, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sakata lililopelekea Spika Job Yustino Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika. Nimefuatilia pia mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa barua...www.jamiiforums.com
Serikali inahusikaje na barua ya Sisiemu? What if ili apewa ile V-8 ya wastaafu wa chama lazima kwanza asabmiti barua husika kama uthibitisho wa kujiuzulu?Hoja ni kwa nini ameipeleka CCM badala ya Bungeni?
Yaani bungeni kuna barua ya CCM sio ya Ndugai.
Aise.. Msitari wa mwisho umemaliza . Kumbe unaelewa ila kwa sababu ni pilipili usiyo ila.Serikali inahusikaje na barua ya Sisiemu? What if ili apewa ile V-8 ya wastaafu wa chama lazima kwanza asabmiti barua husika kama uthibitisho wa kujiuzulu?
Kitu cha msingi ni kwamba barua imewasilishwa kwenye mamlaka husika ya Bunge. Hata angeituma pia kwa Joseph K. Msukuma au Humphrey Polepole (our next president!), kwangu na kwako isingeleta tofauti yoyote!
Pilipili usiyoila yakuwashiani?