Wiki ya sheria Tanzania: Je, Ibara hii ya Katiba inahitaji Elimu kubwa kiasi gani kuielewa?

Wiki ya sheria Tanzania: Je, Ibara hii ya Katiba inahitaji Elimu kubwa kiasi gani kuielewa?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
IBARA YA 149 (1) c YA KATIBA YA TANZANIA;

Mtu yeyote mwenye dhamana ya kazi yoyote iliyoanzishwa na katiba hii.

" ...
Ataweza kujiuzulu kwa kutoa taarifa iliyoandikwa na kutiliwa sahihi kwa mkono wake, kwa kufuata masharti yafuatayo:-

C) Iwapo mtu huyo Ni SPIKA au NAIBU SPIKA wa Bunge, basi taarifa hiyo ya kujiuzulu ATAIWASILISHA kwenye BUNGE.,
 
Inahitaji elimu kubwa kiasi cha darasa la 4, ujue tu kusoma.
 
It means, muda uleule alipojiuzulu, barua ya Mjuzulu JYN iliwasilishwa Bungeni. You must note that Bunge ni kama ^sirikali;^ huwa haiendi likizo literally.
 
Barua ipi iliyopelekwa bungeni.
Kwani umepita Bungeni ukaikosa barua hiyo?

Kwani umepita Bungeni ukaikosa barua hiyo?

Hoja ni kwa nini ameipeleka CCM badala ya Bungeni?

Yaani bungeni kuna barua ya CCM sio ya Ndugai.
 
Hoja ni kwa nini ameipeleka CCM badala ya Bungeni?

Yaani bungeni kuna barua ya CCM sio ya Ndugai.
Serikali inahusikaje na barua ya Sisiemu? What if ili apewa ile V-8 ya wastaafu wa chama lazima kwanza asabmiti barua husika kama uthibitisho wa kujiuzulu?

Kitu cha msingi ni kwamba barua imewasilishwa kwenye mamlaka husika ya Bunge. Hata angeituma pia kwa Joseph K. Msukuma au Humphrey Polepole (our next president!), kwangu na kwako isingeleta tofauti yoyote!

Pilipili usiyoila yakuwashiani?
 
Aise.. Msitari wa mwisho umemaliza . Kumbe unaelewa ila kwa sababu ni pilipili usiyo ila.
 
Back
Top Bottom