Hizo ni burudani tu boss kama chuki unaiona wewe.Ukiangalia kwa jicho la 3 utaona hivo muvi zote zinahusisha chuki zidi ya urusi, waarabu na china
Nawasilisha
Hawa ni chapati wa JF mkuu wanapenda zile gay porns🤣🤣Hizo ni burudani tu boss kama chuki unaiona wewe.
Au ulitaka ziwe dhidi ya Tanzania?aya Tanzania hii iliyokaa uchi utaigiza movie gani imburudishe mtazamaji,samia akidanganya watu atanunua tractor mil 10 au nini?
MifiKidogo niseme royal tour🥶
Haiondoi ukwel kwamba ni chombo cha propagandaHizo ni burudani tu boss kama chuki unaiona wewe.
Au ulitaka ziwe dhidi ya Tanzania?aya Tanzania hii iliyokaa uchi kama tupu za kuku kwenye upepo utaigiza movie gani imburudishe mtazamaji,samia akidanganya watu atanunua tractor mil 10 au nini?
Sawa mkuu we huko Israel huangalii bali unakua laivu ukishikishwa ukutaHawa ni chapati wa JF mkuu wanapenda zile gay porns🤣🤣
Nimefika ndugu yangu 😀