Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,388
- 6,839
Based on true sfory
Operation mincemeat 2021.
🔥🔥View attachment 3467708Operation mincemeat 2021.
Kuna shaka ndogo na ile ilikua na ujasusi ndani yake.Kidogo niseme royal tour🥶
😂😂😂Nipo huku nje ya JF cousin, natafita reforms bila election!
Kuna uzima?
Ofcourse mkuu neo-nazis walisaidia wapalestina kupata dirrection nzima ya eneo . Hatari 🔥🔥🔥🔥Nilicheki docuseries moja imecover hili tukio la Munich Massacre.
Aisee ni matukio ndani matukio na iko na angle nyingi sana unaweza kulitazama lile tukio ( kama vile JFK assassination: inside job, Quba, two shooters, single shooter, Mafia…).
Tukio lina layers kibao. Kuna watu wanaamini kuna Neonazis waliside na Palestine kwenye hili.
Israel na Ujerumani, Marekani na Pakistan. Operation Wrath of God, Mossaid in Norway( Lillehammer Affair), msako wa Salameh.
Ila ile kumuua muisraeli ujerumani ilikuwa moja ya dharau kubwa sana.
Hawa jamaa aina ya maisha wameyachagua ni hatari wanauana kinoma. Kila mmoja anajiona yuko sahihi.
Yeah naamini hivyo.Ofcourse mkuu neo-nazis walisaidia wapalestina kupata dirrection nzima ya eneo . Hatari 🔥🔥🔥🔥
insha'Allah Mungu ataleta kheri cousin.😂😂😂
pambania kombe cousin, ukitoboa familia yako nzima tumetoboa..
namshukuru Mungu kiukweli life has never been better..!!
Mkuu nisaidie app au website nayoweza ku download movies&series kwa wenye kifaa cha haifoni(iPhone)Ofcourse mkuu neo-nazis walisaidia wapalestina kupata dirrection nzima ya eneo . Hatari 🔥🔥🔥🔥
🤣Kuna shaka ndogo na ile ilikua na ujasusi ndani yake.
Shukurani boss1: THE GOOD SHEPHERD
Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy.
2: MUNICH
Baada ya kikundi cha palestina kufanya mauaji ya wana michezo wa kisrael huko ujerumani inapelekea mossad kutuma agents wake duniani kote kuwasaka na kuwaua.
3: ALLIED
Mwanajeshi/agent wa kimarekani anakuja kugundua mke alie naye ni spy wa kinazi, kinachofuatia ni 🔥🔥🔥
4: ARGO
Mwamba anapewa jukumu la kwenda kuwaokoa wafanyakazi wa ubalozi wa marekani uliopo nchini iran. Anajifanya mtengeneza muvi aliechagua iran kuwa plot yake kinachofatia ni 🔥🔥🔥
5: SPY GAME
Mwamba anafanya kazi za spy kwa uhakika katika nchi nyingi za ulaya na uarabuni, hadi hapo akajichanganya kwa wachina 🤣 wakamdaba
6: ZERO DARK THIRTY
mwana dada agent wa kimarekani anakuwa chachu ya kugundua osama alipojificha
Soma pia:
![]()
Wiki hii tafuta muvi hizi 6 za kutisha (SCARY MOVIES) ili wikiendi uziangalie na hautojuta
1: Devil's advocate Kijana mwanasheria machachali kutoka mji mdogo ana kuwa recruited kwenda kwenye law firm ya kitajiri na anapewa kila kitu ambacho hata aliowakuta hawakuwahi kupewa, lakini anakuja kugundua aliajiriwa na shetani kutetea wafanya makosa ya hatari, kinachofata ni sokomoko. 2...www.jamiiforums.com