1: THE GOOD SHEPHERD
View attachment 3466509
Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy.
2: MUNICH
View attachment 3466516
Baada ya kikundi cha palestina kufanya mauaji ya wana michezo wa kisrael huko ujerumani inapelekea mossad kutuma agents wake duniani kote kuwasaka na kuwaua.
3: ALLIED
View attachment 3466519
Mwanajeshi/agent wa kimarekani anakuja kugundua mke alie naye ni spy wa kinazi, kinachofuatia ni 🔥🔥🔥
4: ARGO
View attachment 3466528
Mwamba anapewa jukumu la kwenda kuwaokoa wafanyakazi wa ubalozi wa marekani uliopo nchini iran. Anajifanya mtengeneza muvi aliechagua iran kuwa plot yake kinachofatia ni 🔥🔥🔥
5: SPY GAME
View attachment 3466543
Mwamba anafanya kazi za spy kwa uhakika katika nchi nyingi za ulaya na uarabuni, hadi hapo akajichanganya kwa wachina 🤣 wakamdaba
6: ZERO DARK THIRTY
View attachment 3466553
mwana dada agent wa kimarekani anakuwa chachu ya kugundua osama alipojificha
Angusha nyingine hapo chini⬇️⬇️ ..wana wakatazamae