Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Peter GreenbergKidogo niseme royal tour🥶
Peter GreenbergKidogo niseme royal tour🥶
😂😂😂😂Kidogo niseme royal tour🥶
Propaganda unaziona wewe mimi kwangu naona ni burudani,wewe endelea kuangalia Shumileta wengine tuache tufurahi kuangalia hicho ulichokiita propaganda.Haiondoi ukwel kwamba ni chombo cha propaganda
Hizi hapa mwanangu 😎
Nazipataje
Stream kupitia HDToday.ccKwani mnazikuta wap nizitafute
Movie box humo zimejaa
The Spy based on Eli Cohen true story, kuna episode moja alipita barrier akawa anakaguliwa kwenye gari yake, akaomba asikaguliwe ana vitu vyake vya faragha "phornographic magazines" kumbe ni vifaa vya kupigia "code".
Kwan nimesema Kuna sehemu usiangalie au mm sitaangalia?Propaganda unaziona wewe mimi kwangu naona ni burudani,wewe endelea kuangalia Shumileta wengine tuache tufurahi kuangalia hicho ulichokiita propaganda.
Hatupo hapa kubadilishana mitizamo.
Mbona hunialiki na mimi?
🔥🔥🔥🔥🔥The Spy based on Eli Cohen true story, kuna episode moja alipita barrier akawa anakaguliwa kwenye gari yake, akaomba asikaguliwe ana vitu vyake vya faragha "phornographic magazines" kumbe ni vifaa vya kupigia "code".
Story ya Jasusi wa kiyahudi hapo Syria alisaidia Israel kupata taarifa nyeti ila baadae anakuja kujulikana na kunyongwa. Mpaka leo maiti yake haijarudishwa Israel.
Kwani mnazikuta wap nizitafute
Shukrani sana mwanangu mwenyewe..!
yo cousin, za siku mingi..!?Mbona hunialiki na mimi?
😎😎😎
nimekuja jua JF imefungiwa nishasota, nilikuwa nahisi kuna tatizo la kimfumo unajua..!🙌Nimefika ndugu yangu 😀