Mi nilijua mtandao, nikakaa kama masaa mawili nikaja kuingia ikakubali kama dakika kumi bila vpn ila nikawa nishajua tatizonimekuja jua JF imefungiwa nishasota, nilikuwa nahisi kuna tatizo la kimfumo unajua..!π
Za mwaka ngani mkuu hizi1: THE GOOD SHEPHERD View attachment 3466509
Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy.
2: MUNICH
View attachment 3466516
Baada ya kikundi cha palestina kufanya mauaji ya wana michezo wa kisrael huko ujerumani inapelekea mossad kutuma agents wake duniani kote kuwasaka na kuwaua.
3: ALLIED
View attachment 3466519
Mwanajeshi/agent wa kimarekani anakuja kugundua mke alie naye ni spy wa kinazi, kinachofuatia ni π₯π₯π₯
4: ARGO
View attachment 3466528
Mwamba anapewa jukumu la kwenda kuwaokoa wafanyakazi wa ubalozi wa marekani uliopo nchini iran. Anajifanya mtengeneza muvi aliechagua iran kuwa plot yake kinachofatia ni π₯π₯π₯
5: SPY GAME
View attachment 3466543
Mwamba anafanya kazi za spy kwa uhakika katika nchi nyingi za ulaya na uarabuni, hadi hapo akajichanganya kwa wachina π€£ wakamdaba
6: ZERO DARK THIRTY
View attachment 3466553
mwana dada agent wa kimarekani anakuwa chachu ya kugundua osama alipojificha
Angusha nyingine hapo chiniβ¬οΈβ¬οΈ ..wana wakatazamae
Hawa sio chapati
I'm good. It's been a while cousin!Shukrani sana mwanangu mwenyewe..!
yo cousin, za siku mingi..!?
Ahsante sana mkuuKaribu mkuu
Mungu atusaidie tu, uzalendo siyo kitu rahisi kwa kweli..!πMi nilijua mtandao, nikakaa kama masaa mawili nikaja kuingia ikakubali kama dakika kumi bila vpn ila nikawa nishajua tatizo
it has been ages, where were you eti..!?I'm good. It's been a while cousin!
Mkuu itapendeza ukiwa unaandika movie ubainishe ni ya mwaka gani ili iturahisishie kwenye kuitafuta.1: THE GOOD SHEPHERD View attachment 3466509
Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy.
2: MUNICH
View attachment 3466516
Baada ya kikundi cha palestina kufanya mauaji ya wana michezo wa kisrael huko ujerumani inapelekea mossad kutuma agents wake duniani kote kuwasaka na kuwaua.
3: ALLIED
View attachment 3466519
Mwanajeshi/agent wa kimarekani anakuja kugundua mke alie naye ni spy wa kinazi, kinachofuatia ni π₯π₯π₯
4: ARGO
View attachment 3466528
Mwamba anapewa jukumu la kwenda kuwaokoa wafanyakazi wa ubalozi wa marekani uliopo nchini iran. Anajifanya mtengeneza muvi aliechagua iran kuwa plot yake kinachofatia ni π₯π₯π₯
5: SPY GAME
View attachment 3466543
Mwamba anafanya kazi za spy kwa uhakika katika nchi nyingi za ulaya na uarabuni, hadi hapo akajichanganya kwa wachina π€£ wakamdaba
6: ZERO DARK THIRTY
View attachment 3466553
mwana dada agent wa kimarekani anakuwa chachu ya kugundua osama alipojificha
Angusha nyingine hapo chiniβ¬οΈβ¬οΈ ..wana wakatazamae
Mbona ya kwako hujaitaja El Cohen..1: THE GOOD SHEPHERD View attachment 3466509

Nipo huku nje ya JF cousin, natafita reforms bila election!it has been ages, where were you eti..!?