Wikiendi hii chukua muda wa kuangalia hizi SPY MOVIES 6 na hautojutia

Nipo huku nje ya JF cousin, natafita reforms bila election!
Kuna uzima?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
pambania kombe cousin, ukitoboa familia yako nzima tumetoboa..
namshukuru Mungu kiukweli life has never been better..!!
 
Nilicheki docuseries moja imecover hili tukio la Munich Massacre.

Aisee ni matukio ndani matukio na iko na angle nyingi sana unaweza kulitazama lile tukio ( kama vile JFK assassination: inside job, Quba, two shooters, single shooter, Mafia…).

Tukio lina layers kibao. Kuna watu wanaamini kuna Neonazis waliside na Palestine kwenye hili.

Israel na Ujerumani, Marekani na Pakistan. Operation Wrath of God, Mossaid in Norway( Lillehammer Affair), msako wa Salameh.

Ila ile kumuua muisraeli ujerumani ilikuwa moja ya dharau kubwa sana.

Hawa jamaa aina ya maisha wameyachagua ni hatari wanauana kinoma. Kila mmoja anajiona yuko sahihi.
 
Ofcourse mkuu neo-nazis walisaidia wapalestina kupata dirrection nzima ya eneo . Hatari πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
pambania kombe cousin, ukitoboa familia yako nzima tumetoboa..
namshukuru Mungu kiukweli life has never been better..!!
insha'Allah Mungu ataleta kheri cousin.
 
Ofcourse mkuu neo-nazis walisaidia wapalestina kupata dirrection nzima ya eneo . Hatari πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mkuu nisaidie app au website nayoweza ku download movies&series kwa wenye kifaa cha haifoni(iPhone)
 
Shukurani boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…