Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Mi naona tujikite kwenye hoja namba 14 na 15 😀😀😀😀😀

Mengine ni kawaida kwa watu wa pwani
14. Watoto wa kike na mishangazi wanatoka bara, wanaenda mafia kuvuna pesa za wavuvi na walima nazi 😅😅.

15. Hii story hata vijana wa mafia wa naijua, maana ukifika tu lazima upewe uhondo huu (nasikia mzee wa msoga alilalamika sana, inakuwaje unakosa hata nyumba) 😁😁
 
Aasante kwa taarifa nilitaka kuja huko kuweka kifaa cha kukaushia dagaa .

Je nikija kwa utalii kuna tatizo ?
 
Kuna kipindi nilienda mafia..aisee... kazi ilianzia kupata get ya kulala...mafia Naima gest ni moja tu kwa issaya bia ndio kabisaa utaitafuta sana ...nilifika Kisiwa kimoja kinaitwa bwejuu...Hawa watu vyoo hawana..in short ant school jamii za mafia..ila Kuna hotel kubwa inaitwa shungimbili (thunder) ni ghali sana eastern Africa.
 
Aasante kwa taarifa nilitaka kuja huko kuweka kifaa cha kukaushia dagaa .

Je nikija kwa utalii kuna tatizo ?
. Huku dagaa ni maji chumvi na siyo tamu sana kwa kula... Ila kwa samaki ni wengi sana.... ( tatizo ni figisu ndo nyingi sana) kwa wageni.

. Hakuna shida mkuu, karibu sana, andaa bajeti yako tu..
 
Sababu kuu iliyopelekea uichukie mafia ni hiyo number 11,hizo nyingine ni zuga tu
Mimi siyo mdini mkuu,, sehemu zote nilizo weka red color Yawezekana ndo nilikasirika zaidi kwa sababu sisi ni (Watanzania)
 
Dah wazaramo hawa hawa au kuna wengine master ? Dada yangu kaolewa na mzaramo , huyo kiazi kuna siku alishanipigia simu eti nitume pesa ya hospital dada yangu kalazwa🚮
Duuuuu hapa bongo siwez kuhama aisee 🤣🤣🤣
 
. Huku dagaa ni maji chumvi na siyo tamu sana kwa kula... Ila kwa samaki ni wengi sana.... ( tatizo ni figisu ndo nyingi sana) kwa wageni.

. Hakuna shida mkuu, karibu sana, andaa bajeti yako tu..
Asante
 
Kinachosumbua Tanzania wala sio Ccm ila ni watu wa aina ya mtoa mada na kiu ya kanisa kutaka watu waishi kama wanyama wa polini wanatamani kila Mtu aishi kimbwa mbwa kinguruwe nguruwe hawapendi kuona jamii fulani ikitunza mila na tamaduni zake.

Mtoa mada taja mkoa uliyotoka tukutajie na Tabia zenu.
 
Popote alipo kaa mwarabu,
sifa zake ndio hizo hizo. UVIVU, UMASKINI, UDINI UCHAWI, VISASI, UFIRA.JI
Mwarabu yupo Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Lalago, Maswa, Kishapu, Ushetu, Igunga, Nzega kwa wingi.

Hapo napo unataka kusema nini?
 
Mkuu, hivi hii mbina huwa haiwaathiri wasio wachawi wanaokuwa wanawatazama?
Mbona Haina madhara kwa mtazamaji, labda ujifanye nawe gangwe.

Halafu ni fursa kwa wazee wa totoz na wanaosagula.
Vitoto kutoka malampaka, kishamapanda, nkololo, lagangabilili, Gambosi, wanakuja wamependeza kweli kweli. wengine hutokea mbali huko Lalago, Gitoha na kwingineko.

Cheki maujanja na mchawi mkuu wa mkoa anapotangazwa.

Yet, wakija pwani wanalalamika uchawi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanajiona wao Bora?
Eti wasomi?

Kule kaliua na Urambo hata ukigonga bata , lazima umtafute mwenye bata tuombe radhi bila hivyo safari yenu hamfiki.

Mimi nikuwaona huko wanavyobehave, Huwa naishia kuwacheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…