Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Kasamehe aisee.
UNashangaaa kalivyofika mafia kameolewa.
 
Bado tunaendelea kukutafuta kaa kwa kujificha la si hvyo jua sisi na wewe....
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Utajua nini maana ya ilm dunya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata msihangaike hivyo kesho njoo pale kkkt usharika wa temboni ibada ya kwanza
 
Huyo simpati mkuu...
Huko nliwekeza kwenye biashara za jongoo bahari+mpaka kuwa na boti zangu
Soko nlikuwa nalo kubwa la wachina dar ila mziki nliyokuja kutana nao huko+loss Acha tu
Angekuwa mtu legelege nahs angejinyonga πŸ˜„

Hivi mv potwe na jubini bado zinapiga kazi huko kutokea nyamisati

Ova
 
Huko samaki ndiyo kwake....na pweza pia wako wa kumwaga.
Ila mafia nlitokea kupachukia gafla,kule kulikuwa kulikuwa na nafasi nyingi za wote kutengeneza hela .... sema watu tu huko wanakata stimu

Ova
 
Aaah punguzeni uchawi πŸ˜…πŸ˜…
Uchawi wa kawaida tuu.....
Alafu watu hawajui ku deal na wachawi wee ishi nao kwa kuwasifia tuu kuwa wao noma..

Mimi mwenza wangu ni mtu wa mafia na huyo ndo aliyeniletea first born wangu..

Huyu hana tabia za ajabu sijui labda kwa kuwa ajakaa sana mafia
 
. Ilikuwaje mpaka ukadondokea pua mkuu πŸ₯ΆπŸ₯ΆπŸ₯ΆπŸ₯Ά. πŸ€•πŸ€•πŸ€•


. Nimeona kuna jamaa huku wanakusanya "vimekaa muundo kama wa crips hivi wanaviokota baharini," jamaa aliniambia vina hela sana na akaenda mbali zaidi kuwa ukijaza lita mbili, mchina ananua kwa laki mbiliii 😳😳,

. Sasa hivi majahazi yapo ya kutosha mkuu, niliona hiyo mv potwe tu, hilo lingine sijaliona bado.
 
Ishi nae kwa password ile kuvuka maji huwa inawajengea roho ngumu kiaina watu wa visiwani hata ukerewe ni hivyo hivyo tu
 
Jongoo zenye pesa haziokotwi
Hizo ni za bei cheese
Jongoo zenye pesa ni kama spinyo,barangu nk na kuwapata hao lazkma uende deep baharini
Wakati ule kg 1xilikuwa inakwenda 65,000/
Baharini lazima uwe na madivers
Kwenye boti
Hasara ilitokeaga huko kulifanyika operation mpk watu wa navy ndani...vyombo vilikamatwa,watu ilikuwa mshikeshike jazz band

Ova
 
Aiseeeeee, pole sana mkuu πŸ™ πŸ™.. Au hairuhusiwi kuwavuna jongoo wa Aina hiyo??
 
Huko samaki ndiyo kwake....na pweza pia wako wa kumwaga.
Ila mafia nlitokea kupachukia gafla,kule kulikuwa kulikuwa na nafasi nyingi za wote kutengeneza hela .... sema watu tu huko wanakata stimu

Ova
Kweli kabisa bei Chee na wapo wa kila aina mkuu.. Sema mie sikupapenda kabisa niliishi kama nipo gerezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…